tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taswira ya Vyombo vya Habari Tanzania katika tangazo la TEC

    Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Maskofu Tanzania (TEC) lakanusha waraka uliosamba kwenye mitandao ya kijamii

    Akizungumza na waandishi wa Leo Oktoba 13,2025 katibu wa baraza la maskofu Tanzania Padri Charles kitima amesema waraka huo si wa baraza hilo huku akisisiza kuwa wanaofanya hivyo wakome mara moja. Waraka huo ambao uliwataka wauumini wa kanisa katoliki nchini kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  3. JamiiForums Tanzania Nakukumbusha PAUL MAKONDA (BASHITE ), Ulipotupwa nje na JPM, ulikesha kwa MAKADINALI , TEC kulinda Uhai wako, Leo unawadharau TEC, siku inakuja !!

    Wadharau sana Watanzania uwezavyo!. Nakumbuka ulikua unalia mpaka unatoa Makamasi !!. Wadharau TEC uwezavyo , Mapdre wananusurika Kuuwawa, wanafatiliwa kuuwawa, wanafanyiwa Dharau na kejeli za Kila aina !!. Paul Makonda Sasa unafurahia Maisha, Bwana Bashiteee , Kijana wa mtandao ,Kijana wa wa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Mohamed Kawaida: Tumesikitishwa Na Kauli Ya Rais Wa TEC

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki. Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam. Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , TEC, Askofu Wolfgang Pisa Muhtasari wa habari Kibwagizo cha ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) katika Sala na Mafungo ya kuombea haki na amani yatakayofanyika siku ya tarehe 23 Agosti 2025, kitakuwa tamko kwamba "Haki na amani ni pande...
  8. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Kanisa Katoliki kwa Kusimamia Kidete Msimamo wa TEC

    Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya mazishi ya Padre Vitalis huko Karagwe kupiga siasa. Nalipongeza kanisa Katoliki kwa kwa kuwa firm...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 TEC yasema Jumapili ni siku ya ibada na siyo ya kufanya maandanamano ya uchochezi

    Wakuu nimekutana na hii Taarifa kwa Umma je ni kwelli imetoka TEC?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

    Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea TEC na Gwajima wakashirikiana, kishindo chake kitakuwaje kuelekea uchaguzi Mkuu?

    Salaam, Shalom! Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃 Unadhani kishindo chake kitakuwaje? Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist Mungu ibariki Nyikani. Karibuni 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Huenda katibu mkuu wa TEC asirejee tena kwenye wadhifa wake

    Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza. Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya TEC kuzuia makanisa yake kutumika na wanasiasa, natamani na TABOA/TATOA nao waje na tamko kuzuia mabasi na malori yao kutumika mikutanoni

    Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika. TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu kwenye mikutano ya siasa. Hili pia likifanyika, CCM pamoja na kuwa ni chama tawala watakuwa wapweke...
  14. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma wataka BAKWATA na TEC kuwachukulia hatua Viongozi wa Dini wanaoeneza propaganda za kisiasa

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa . Wito huo umetolewa leo...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania msizime Moto Kwa Petroli , Uhuni kwenye Shambulio la LISSU, msiuhamishie Kwa KITIMA acheni kua na Viburi na Mizaha

    Muacheni kua na Viburi na Mizaha !! Huyo anayewatuma atawaponza, TEC sio Familia ya Masikini ya Mnyonge wa WATU TUNDU LISSU !! TEC inapoongea mara mbili mbili juu ya HAKI Kwa KITIMA dhidi ya Waliofanya Jaribio la kuondoa Maisha yao , Wanamaanisha HAKI KWELIKWELI Sasa basi, endeleeni kuleta...
  17. JamiiForums Tanzania TEC mbona hamtoi updates za Maendeleo ya Kiafya ya Padre na Mwalimu wangu SAUT (2006-2009) Kitima?

    Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
  18. JamiiForums Tanzania Mfano wa Kuigwa: Papa Leo XIV aliongoza kuupinga Utawala wa Kidikteka wa Fujimori nchini Peru miaka ya 1990. Hongereni TEC kwa kupinga Udikteta wa CCM

    Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huu mvutano wa TEC, Bakwata na mamlaka, ndio utakaovunja ule mwiko tuliouzoea

    Hellow! Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili. Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia utaratibu uliopo wa kupokkezana Bakwata na catolicano kutoa kiongozi Mkuu, tukaona hili ni ngumu...
  20. JamiiForums Tanzania TEC: Shambulio dhidi ya padre Kitima lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa kusema na kutenda kadiri ya wito wake

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…