technews

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐—œ๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚

    Hivi utajisikiaje ukawa unanunua ๐Ÿ˜ƒ Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”ฅ Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—š๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐˜…๐˜† ๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿต

    Kama Unatumia Samsung Galaxy A Series? Basi usikimbilie kubadilisha simu yako! ๐Ÿ‘€ Kuna baadhi ya simu za Samsung Galaxy ambazo zitaendelea kupata Security Updates na Android support hadi kufikia mwaka 2029, zikisaidia kulinda simu dhidi ya vitisho vya kiusalama hata baada ya masasisho makuu ya...
  3. JamiiForums Tanzania ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿญ๐Ÿด ๐—›๐—ถ๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐Ÿ”ฅ

    Google inakuja na mabadiliko kwenye mfumo wa Contacts Permissions kwenye Android 18, kwa lengo la kuongeza Privacy na kuimarisha Usalama wa taarifa zako.๐Ÿ›ก๏ธ ๐Ÿ“Œ What's changing? โœ… Apps zitakuwa na njia salama zaidi za kuongeza add au ku edit contacts. โœ… Kupunguza ruhusa zisizo za lazima...
  4. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐˜€๐—น๐—ฎ

    Wakenya hii balaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! ๐Ÿš˜๐Ÿคฏ Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‘ Je, kweli mafundi wa Kenya...
  5. JamiiForums Tanzania ๐Ÿšจ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐——๐˜‚๐—ผ ๐—ฌ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ! ๐—ฆ๐—ธ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ญ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ, ๐—ง๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ก๐—ถ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ“ฑ

    Baadhi ya watumiaji wa iPhone Duo wameripoti matatizo ya skrini ya ndani kupasuka, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu eneo la bawaba (hinge) linalosaidia simu kukunjika. ๐Ÿ”๐Ÿ“ฑ Dalili zilizoripotiwa ni pamoja na: ๐Ÿ’ฅ Skrini kupata mistari ya mwanga mweupe. โš ๏ธ Mistari ya pikseli kuharibika karibu na...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—ข๐—ก๐—ข๐—ฅ ๐—œ๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ง๐—” ๐—ง๐—”๐—•๐—Ÿ๐—˜๐—ง ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—”๐—๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—š๐—”๐— ๐—œ๐—ก๐—š

    Kama wewe mpenzi wa Games basi hii Tablet ni balaa ๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป HONOR imekuja na mashine ya gaming inayoweza kuwafanya gamers wengi kutamani kuimiliki! ๐Ÿš€ Kwenye HONOR WIN TABLET kilichopo ndani yake: ๐Ÿ’ฅ Snapdragon 8 Elite Gen 5 โ€” nguvu kubwa kwa gaming na multitasking. โ„๏ธ Feni ya ndani ya 15,000 RPM...
  7. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ฌ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ ๐Ÿ˜€

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐Ÿ”ฅ Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ ๐Ÿ“ฑ Kwa nini MP02 ni ghali? ๐Ÿค‘ Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ€” takribani TSh milioni...
  8. JamiiForums Tanzania Huenda ukaanza kulipia app kwenye Android yako kwa jinsi unavyotumia

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! ๐Ÿ”ฅ Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—ค๐—ฅ ๐—–๐—ข๐——๐—˜ ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—œ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐Ÿ‘€

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu โ†’ Messages โ†’ Device Pairing โ†’ Scan QR Code โ†’ Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa kazi kweli!

    Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoniโ€ฆ tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi. Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. ๐Ÿ˜…๐Ÿ’ป Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Enzi zimebadilika...
  11. JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ โ€” na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! ๐Ÿ” Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja โœจ Gemini...
  12. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ผ๐—ป๐˜† ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—จ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€ ๐—ผ๐—ป๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐ŸŽฎ

    PlayStation iko kwenye majaribio ya kuleta mfumo mpya wa Rewards ambapo watu wataweza kupata hadi $10 za PSN Wallet Credit baada ya kununua games zilizochaguliwa. ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ’ณ Ukinunua game yenye offer hiyo, $10 zinaongezwa kwenye Wallet yako ili zitumike kwenye manunuzi mengine ya PlayStation Store. ๐Ÿค‘๐ŸŽฎ...
  13. JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Kwa ufupi tu kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค” Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  15. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—น๐—ผ๐—ฐ๐—ธ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ ๐—œ๐—— ๐Ÿ‘ค

    Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji. ๐Ÿ˜ณ Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ฎ๐˜a๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—œ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—บ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐Ÿง‘โ€๐Ÿฆฏ

    Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. ๐Ÿง ๐Ÿ‘€ Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
  17. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ผ๐˜€

    Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive ๐Ÿ‘‹. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. ๐Ÿ‘€ Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania ๐—ก๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜€๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ๐Ÿ”‹๐Ÿ“ฑ

    Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? ๐Ÿ˜ฑ Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako ๐Ÿ‘‹. Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
  19. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ Kutoka kwenye Apps ๐Ÿ“ฑ, Websites ๐ŸŒ, Games ๐ŸŽฎ hadi AI ๐Ÿค– nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? ๐Ÿ˜ฎ 256 si namba tuโ€ฆ ni siku...
  20. JamiiForums Tanzania Whatsapp Kuzuia chati zako

    Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama. Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ