toto

  1. R

    Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

    Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
  2. Fei Toto alivyotinga uzi wa Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya mechi

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  3. Toto afya

    Wakuu,naskia toto afya imerudi kwa gharama yetu maskini,ni kweli? Tupeane info wazee.
  4. Tetesi: Kwani Press ya Lema ilikuwa danganya toto?

    Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili. Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound tu? Duuuuuuh! Kumbe bwana Lema kisirisiri anampambania Mbowe ili ashinde? Kaaaaaaaaaa! Eti wenyewe...
  5. Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene isaka wakati wa Uzinduzi wa Mifumo na Mpango wa Toto Afya Kadi

    HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024 Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge – Afya na Ukimwi Katibu Mkuu-Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu...
  6. Toto afya kadi yarejea usajili mtoto mmoja Tsh 150,000 na wale wa makundi Tsh. 50,400

    Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo kama unataka kumsajili mtoto wako ambae sio mwanafunzi utalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa...
  7. Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea. Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...
  8. K

    Tanzania imekuwa nchi ya kitoto toto! Hatuku makini kama zamani

    Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
  9. Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  10. Fei Toto mbovuu

    Kuna watu humu JF walisema sijui fei toto kibonge, fei toto mbovuu Jana kaliheshimisha Taifa
  11. Q

    Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  12. Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

    Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium πŸ›‘οΈ Community Shield. πŸ“… 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA AZAM Updates.... Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
  13. Nimechoshwa na toto langu la kiume wivu umezidi kwa mama yake

    Yani huyu wakuja kabla hajaja mimi na mama yake tulikuwa tunaishi vizuri Kidume nilikuwa nalala mapajani, nafanyiwa scrub mwili mzima na kukumbatiwa muda mote Lakini ghafla toka huyu jamaa azaliwe hivi sasa ana miaka mitatu na nusu jamaa lina wivu kutwa kucha kunipiga makofi likinikuta na mama...
  14. Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  15. Ujanja wa Toto: Vita vya Soda ya Bure na Mama Kamau

    Ilikuwa Jumamosi asubuhi na jua lilikuwa linawaka vizuri. Majirani wa mtaa wa Mjini Ndani walikuwa wanapanga mipango ya weekend yao. Lakini kijana mmoja, anayeitwa Toto, alikuwa na plan ya kipekee kabisa. Toto alikuwa na sifa ya kuwa na ujanja wa kijinga lakini wenye kuleta matokeo. Alikuwa...
  16. F

    Naomba ushauri wakulungwa. Toto kiburi nataka kumpeleka Kizuka shule ya TPDF

    Kuna mtoto wa ndugu yangu ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu Kidato cha 4. Kapangiwa college, kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college. Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu, jeuri. Kwa ujumla alilelewa kishenzi. Mimi niko mbali na anakoishi. Nimewaza aende Form 5 shule za...
  17. Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  18. Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  19. S

    Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M. Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam. Dirisha...
  20. Sikiliza maswali ya wanahabari wetu, ni kama ya Fei Toto

    Hebu sikiliza na kuona haya Dube na maswali ya waandishi wetu. Safari ni ndefu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…