udom

The University of Dodoma (UDOM) is a public university in central Tanzania located in Dodoma, the country's capital. Building is taking place on a 6,000-hectare site in the Chimwaga area about 8 kilometres (5.0 mi) east of downtown Dodoma.The University of Dodoma was formally established in March 2007 following the signing of the Charter by the President of the United Republic of Tanzania. The first academic programmes commenced in September 2007. Currently UDOM is the fastest growing university within the country, its biggest more than any other university within the country, and it's praised with producing competent and qualified candidate capable of competing in job market.
In line with Tanzania's Development Vision 2025, the University of Dodoma, when fully operational, will be able to enroll 50,000 students. This is more than triple the size of the University of Dar es Salaam when UDOM becomes fully operational. Up to now it is 80% complete and is already two times bigger the size and capacity of The university of Dar es salaam.The university of Dodoma currently has seven colleges: College of Earth Science, College of Natural and Mathematical Sciences, College of Informatics and Virtual Education, College of Education, College of Humanities and Social Sciences, College of Health and Allied Science and College of Business studies and Law, in recently there was also establishment of newly academic institute within college of humanities and social science UDOM named institute of Development studies(IDS) charged with responsibility of strengthening professionals within the field of Development studies.
Also is found in the Capital city of Tanzania

View More On Wikipedia.org
  1. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi UDOM ili waweze kujiajiri. Mafunzo kama haya ni vema yaambatane na uweze

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira. Amesisitiza hayo Februari 28...
  2. Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  3. W

    KERO UDOM hawajalipa deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

    UDOM wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa tatu sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na Mahafali tulishafanya tangu tarehe 6 na 7 mwezi wa 12 sasa lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. UDOM msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea hizo fedha
  4. UDOM library imefungwa wafanyakazi wameenda sabato

    Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee. Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda. Library ni collage ya CIVE. Update/mrejesho 1.Library imefunguliwa saa 3 na dakika zake...
  5. DOKEZO Wakaguzi wa majengo msisahau kupita na UDOM

    Nisiseme mengi ila kwa mtu mwenye uelewa mdogo tu wa ujenzi na majengo atajua kuwa yale majengo wachina walifanya uhuni sana.ukizingatia ukanda wa dodoma matetemeko ya ardhi ni kama ndio nyumbani kwake Kuna majengo sioni miaka 30 ijayo kama yatatoboa.labda haya wanaliyojenga sasa hivi kama...
  6. A

    KERO UDOM kuna mpango gani na overpayment zetu?

    Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
  7. Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  8. N

    Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

    Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma, baada ya ajali wananchi nao walimshikisha adabu kidogo kwa kumpa...
  9. Muda umefika UDOM ipewe hadhi ya Jiji (city). Dodoma iwe na majiji mawili

    Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu. Hivi kweli Morogoro town utalinganisha na Udom,Kibaha makao makuu ya mkoa wa Pwani haisogei kwa UDOM...
  10. Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

    Wakuu habari? Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza, Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka Au mwenye...
  11. Games Tutor II(4 posts) at Udom

    POST GAMES TUTOR II - 4 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES I. To assist senior games staff in their duties. II. To assist in taking Charge of play grounds, courts and sports gear. III. To...
  12. Instructor II-Music at Udom

    POST INSTRUCTOR II - MUSIC - 1 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist Senior Studio Instructors in the operations of relevant areas of field specialization in the course of their...
  13. Instructor II-Print Media at Udom

    POST INSTRUCTOR II - PRINT MEDIA - 1 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist Senior Studio Instructors in the operations of relevant areas of field specialization in the course of...
  14. J

    Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  15. H

    The University of Dodoma (UDOM) yatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo 2024/2025

    UDOM WAMETOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO 2024/2025 ANNOUNCEMENT FOR STUDENTS ADMITTED INTO DIFFERENT STUDY PROGRAMMES AT THE UNIVERSITY OF DODOMA WITH SINGLE ADMISSION FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR โ€“ FIRST-ROUND ADMISSION The University of Dodoma (UDOM) is pleased...
  16. J

    KERO Changamoto ya usajili Chuo Kikuu Dodoma

    Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni. Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa mfumo maalumu unaoweza kujiendesha, mwanafunzi anaweza kuandika barua leo lkn mpaka kuja kuipata...
  17. Je, na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vingine Tanzania walishangilia Usiku Kucha jana baada ya Kuingiziwa 'BOOM' lao kama walivyofanya wa UDOM?

    Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi. Kama hujasoma au...
  18. S

    Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  19. Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi. Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya...
  20. Mwandishi wa Habari aliyekamatwa akituhumiwa kuiandika vibaya UDOM aachiwa kwa dhamana

    Mwanahabari Kazimbaya Makwega ambaye alikamatwa na Askari Polisi akiwa Chuo cha Mallya, Kwimba (Mwanza), Februari 22, 2024 kisha kusafirishwa hadi Dodoma kwa tuhuma za kuandika maneno ya uchechezo dhidi ya Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM) kupitia tovuti yake ya โ€˜Mwanakwetuโ€™, ameachiwa kwa dhamana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ