Waziri George Simbachawene akitoa ufafanuzi kuhusu kinga kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyoelezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa wa Mwaka 2023.
Tayari Bunge limepitisha muswada huo na sasa utapelekwa kwa Rais kwa ajili ya...
Kwa mujibu wa Bill Gertz, mwandishi wa Kitabu cha Breakdown: How America's Intelligence Failures Led to September 11 alinukuliwa akisema "Maafisa wa kijasusi na usalama waliopinga mpango wa kubinafsisha Bandari zake kwenda Dubai Ports World walisema bandari ziko hatarini kutumika katika...
Waandishi hao wa Habari wanapinga kile wanachosema kuwa ni Sheria kandamizi dhidi ya ugaidi iliyoundwa kuvitisha vyombo vya habari.
Wameandamana wakiwa na mabango nje ya makao makuu ya muungano wa Wanahabari wa Kitaifa, wakitangaza kuwa uhuru unategemea uhuru wa vyombo vya habari.
Mei 16...
Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa
Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia.....
Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
Habari JF, binafsi huwa nakuwa na shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu Mbowe.
Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani.
Nimekaa nimejiuliza sana, je, Kesi ya Mbowe ilianza kusikilizwa kwa benefits au faida kwa Awamu ya Tano au Sita au...
Wengi wetu humu Tumeona, tunesikia na tumesoma tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uwezekano wa kutokea shambulio la ugaidi hapa nchini.
Tumesikia mwitikio wa jeshi la polisi kuhusu hatua wanazochukua dhidi ya tahadhari hiyo huku wakituhakikishia usalama na ulinzi. Lakini mimi nineona hapo...
Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe.
Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini katika Mji wa Balama na uamuzi wa kuachiwa huru ulitokanana Jaji kuamua kuwa hakuna kesi yenye nguvu ya...
Rais wa Iran, Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden anahamasisha machafuko baada ya kifo cha Mahsa Amini, mwamnamke ambaye inadaiwa alikufa katika mikono ya Serikali ya Iran na kusababisha maandamano ambayo yanaendelea mpaka wakati huu.
Raisi amesema...
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine
Oct 11, 2022 02:27 UTC
[https://media]
Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi sawa na lile lililotekelezwa Jumatatu.
Onyo hilo limetolewa na Rais wa Vladimir Putin wa Russia ambaye...
Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani.
Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
Mkuu wa diplomasia wa EU Josep Borrell amethibitisha uungaji mkono huo ili kuimarisha ulinzi na kukabiliana na ugaidi baada ya mashambulizi kadhaa ya umwagaji damu yanayohusishwa na wanajihadi kwenye mipaka ya nchi hiyo na Tanzania.
Amesema EU iliidhinisha nyongeza ya Ths. Bilioni 35.5 za...
Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali.
Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama...
Zikiwa zimepita siku mbili tangu Salman Rushdie ashambuliwe kwa kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kulazwa chumba cha wagonjwa mahututi huko Marekani, msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Nasser Kanaani amefutilia mbali madai yanayoendelea kushika kasi kuwa serikali ya nchi...
Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi
Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea kuwakumbatia hao akina Halima Mdee, naziona dalili zote za kutokea kile kilichotokea kwenye ile Kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.