usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  2. Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  3. B

    Burundi yaimarisha Operesheni Usalama, Wageni Wasio Na Vitambulisho Wakamatwa

    17 February 2025 Bujumbura, Burundi https://m.youtube.com/watch?v=WQg06wGKXV0 Jeshi la polisi laimarisha usalama, na kuendesha operesheni kukamata wageni wasio na vitambulisho Wakati wengine wakisema katika mitandao wanavumisha ni Banyamulenge ndiyo wwanakamatwa, Waziri wa Mambo ya Ndani...
  4. Pre GE2025 Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo kwa kushirikina na TRA yatoa vitenge 200 kwa wajawazito

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi msaada wa vitenge 200 kwa wanawake wajawazito katika Hosptali ya Wilaya ya Kalambo na vituo vya kutolea huduma za afya kama sehemu ya kurejesha faida kwa wananchi. Mkuu wa Wilaya...
  5. Pre GE2025 Kwa anayoyaongea Lissu kuhusu uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama vina machaguo matatu tu

    Habari Ndugu zanguni, Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa...
  6. Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani Tanzania zinasema nini kuhusu Self Driving cars?

    Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida. Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars. Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
  7. Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii. Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
  8. Mbeya: Mtoto mwenye umri wa miaka sita akutwa amefariki kwenye korongo la maji, wazazi tukumbuke usalama wa watoto kipindi hiki cha mvua

    Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi. ===== Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
  9. Mawaziri wa EAC-sSADC wajifungia Dar es salaam kujadili usalama wa DRC

    Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkutano huo umeongozwa na Waziri Mkuu...
  10. Jerry Silaa: Mfumo wa Kielektroniki wa Anwani za Makazi (NaPA) utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva

    Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
  11. Kwa usalama wa abiria - Ndege za ATCL zisitishe safari za Congo

    M23 wasije wakatawanya ndege zetu angani huko Congo
  12. Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  13. Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!

    Kagame kweli kajaa kiburi! Kwenye kurasa zake za Mitandao ya Kijamii amerusha Video akiongea kuhusu Mgogoro wa Congo jana kwenye kikao chake na Wakuu wa EAC Kamgombeza kama mtoto mdogo Rais wa Afrika Kusini kuhusu majeshi yake yanavyoisaidia Congo. Kawananga SADC ambayo mwenyekiti wa Kamati...
  14. Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

    Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika. Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi. Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye...
  15. Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC

    Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hii inafuatia taarifa za hivi karibuni za kuongezeka kwa...
  16. DAR: Bashungwa aingia mtaani kujionea Polisi ilivyoimarisha usalama mkutano wa nishati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ukiendelea katika Kituo cha Kimataifa cha...
  17. N

    Walinzi wa Rais wa Liberia na maafsa usalama wa Tanzania nusura wazichape, msafara wasimama kwa muda, matangazo yakatwa

    Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
  18. Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi Kuhusu Mimi Mimi ni : ME Umri : 26 Elimu : Degree of Geography and Environmental studies, na OSHA (NOSHC 1) Napatikana : Morogoro Sifa zangu...
  19. Hali ya usalama Mashariki mwa DRC

    Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi...
  20. Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

    Wanabodi Habarini... Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha. Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…