Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza.
Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...