uwezekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna uwezekano NETO wamelamba asali?

    Wakuu huu ukimya imekaaje? NETO wamelambishwa asali na huenda ndiyo chanzo Cha ukimya wao. Vijana tuendeni tu shambani vijana wenzetu wameula Hawa na wameamua kulala mbele.
  2. Kuna uwezekano wa kutumia p2 na ukapata mimba?

    Habari ya asubuhi Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo? Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo...
  3. Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

    Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
  4. Kuna uwezekano Pi network ikaja kuqa kama bitcoin?

    Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha baada ya miaka 15 ijayo kama ilivyofanya bitcon? Wataalam wa sarafu za kidigital mnaweza kuzungumza hapa
  5. T

    Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababìsha uwezekano mkubwa wa kuachana

    Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana. Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
  6. Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze...
  7. Uwezekano wa 1 USD kufika 2600+ Tanzania Shilling kabla ya mwisho wa mwezi, Technical analysis.

    Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
  8. Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  9. Kuna uwezekano Mkubwa Lissu na Magufuli waligombanishwa. Yawezekana Lissu alitumiwa pasi na kujua

    Happy New year Wakuu! Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua. Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua...
  10. H

    Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

    1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_ 2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine 3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul 4.Historia za matukio ya nyuma ya...
  11. Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
  12. Tetesi: Uchaguzi wa CHADEMA,Kuna uwezekano Lissu akakosa Bara na Pwani Umakamu mwenyekiti na uwenyekiti

    Katika uchaguzi ujao wa Chadema, kuna dalili kwamba Tundu Lissu huenda akakosa nafasi za uongozi bara na pwani, hasa (katika nafasi za umakamu mwenyekiti na uwenyekiti.) Hali hii inatokana na changamoto mbalimbali zinazokabili chama hicho, ikiwa ni pamoja na mpasuko wa ndani na ushindani mkali...
  13. Mpanzu ni usajili wa kisiasa kuna uwezekano asicheze kabisa Simba

    Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo. Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu. Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki. Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye...
  14. Unavyonunua gari fikiria na uwezekano wa kupata mteja kama ukiamua kuliuza

    Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa). Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
  15. Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  16. Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  17. Kuna uwezekano Simba ndiyo club iliyokomaa zaidi kimpira Tanzania

  18. T

    Je, kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia ya 3 kutokea? Na JE, tujiandaaje??

    Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!' Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine kutumia Silaha za masafa marefu kushambulia ndani ya Urusi, basi Urusi itahesabu kuwa NATO imeingilia...
  19. E

    Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  20. Yanga agalieni uwezekano wa kumrudisha Youssef Ammar, na kusajiri mshambuliaji mmoja mzuri kijana jahazi linazama

    Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo. Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu. Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…