vibaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa vibaka aliyeuliwa 29/10/2025

    Kwa maelezo ya Shehe Mwaipopo pamoja na mashehe wengine wa BARKWATA, Huyu ni mmoja wa Vibaka waliouliwa kihalali na Serikali ya Muislam mwenzetu aliyeshindwa kumaliza eda yake. Allah atusaidie sisi waislam tuache unafiki.
  2. JamiiForums Tanzania 2007 Lucky Dube aliuawa na vibaka kwa dhumuni la kuiba gari yake. Ironically Dube aliuawa na watu wale wale aliowaimbia na kuwashauri dhidi ya uharifu

    https://youtu.be/P0b1Sk7_VFM?is=cLeLJ-QDzigC9brU Mnamo Oktoba 18, 2007, Lucky Dube aliuawa na majambazi wenye silaha huko Rosettenville, kitongoji cha Johannesburg, muda mfupi baada ya kuwaacha watoto wake wawili nyumbani kwa mjomba wao. Dube alikuwa akiendesha gari lake aina ya Chrysler 300C...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

    Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, katika harakati zenu nyny panyaroad ugomvi ukaibuka baina yenu wenzio wakafa sasa serikali imekosea nini? Hapo wa kulaumiwa niwazazi kwa kutowapa malezi watoto wao. Halafu Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si...
  4. JamiiForums Tanzania Chalamila usijione una akili kushangiliwa na vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli

    Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli ambao sio walengwa wa usafirishaji. Kama Chalamila anafikiri ana akili sana aende Ubungo...
  5. JamiiForums Tanzania Kudos US kwa kumuwekea vikwazo rais wa ICC maana wapo compromised. Hawataki kudeal na waharifu ila wapo obsessed na Israel na nchi za mrengwa wa kulia

    mcTobby
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya na Polisi wilaya ya Ukerewe wameshindwa kukomesha wizi na vibaka

    Moja kwa moja kwenye mada. Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa. Pia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Songea, Ruvuma: Wananchi tunaishi mtaa wa Ruhuwiko tunasumbuliwa sana na Vibaka, tunaomba msaada wa Polisi

    Sisi wananchi wa Mtaa wa Ruhuwiko katika Manispaa ya Songea tunakabiliwa na changamoto kubwa ya vitendo vya wizi vinavyofanywa na vibaka ambao wamekuwa wakivamia maeneo yetu ya makazi mara kwa mara. Matukio haya hutokea zaidi nyakati za usiku, ambapo wahalifu hao huingia kwenye makazi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza Taser mashine ya kujilinda inapiga shoti vibaka wezi na watekaji usikose kwa usalama wako

    Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda yaani self defense 🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥 Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji? Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Vibaka wana ajenda yao, niliwaambia mkacheka; mwingine aporwa milioni tano, kama nilivyovamiwa mimi

    Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo wahuni. Ni wiki kadhaa tu tangu tukio la mimi kutolewa visu mchana kweupe na kunipora pesa na...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi njooni mtuondolee vibaka huku Misugusugu Kibaha, wananchi wanateseka au mmewashindwa?

    Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu. Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga, aisee cha ajabu hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao, kuna ndugu hawa wawili. Hawa...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
  12. JamiiForums Tanzania Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania, kila Kona kwenye miradi mingi Kuna ubadhilifu, je serikali inasajili vibaka? Wezi?

    Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo! Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana. Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaharibu miundombinu tuliyotengeneza na kujenga kwa Kodi zetu halafu watu wanawaangalia tu ilitakiwa mshugulikiwe Kama vibaka

    Hivi eti Mtanzania mwenzangu hiyo nguvu ya kubaki unawaangalia tu vibaka wakiiba na kubomoa Mali za watu na za serikali uliitoa wapi? Mbona wezi wa kariakoo huwa mnawashughulikia ilikuwaje watu wachome vituo vya mwendokasi, wabomoe maduka ya watu huku mnawashangaa tu? Uzalendo upo wapi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa 'Dezo Dezo' ya Leo kwa Mkapa ndiyo mtaamini kuwa Wahuni na Vibaka wengi Tanzania wanashabikia Timu gani

    Kwa Mashabiki wa Simba SC mtakaoenda Uwanjani kuweni makini sana na Wallets zenu na Simu zenu za Gharama.
  19. JamiiForums Tanzania Video: Mbinu mpya na hatari ya Vibaka.

    GT Aisee hii inafanya watu tusiwe na moyo wa kusaidiana aisee.
  20. JamiiForums Tanzania Wakala Morogoro avamiwa na kuporwa Milion 2 na vibaka

    Mfanyabiashara wa Miamala ya Kifedha alinayefahamika kwa jina la Method Asheri Mkazi wa Mtaa wa Majengo Mapya Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amevamiwa na Watu wasiojulikana Kisha kuporwa begi lake ambalo lilikuwa lina Fedha zaidi ya Shilingi Milioni 2 ,Simu na Vifaa vyote vinavyotumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…