Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi mbele ya Tume ya Jaji Lila, ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa wananchi wa wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja.
Rungwe amesema wananchi wanapaswa...