Wakuu, ikiwa leo ni Sikukuu ya Wapendanao "Valentines Day", unasherekea vipi au umepokea nini mpaka sasa?
Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo;
Kubadilishana zawadi unaweza kuambatanisha na maua
Games au movie Night: Kama hamna hela unaweza kuchill nyumbani na huyo...