Kuna huyu mpenzi wangu nashindwa kumuelewa, amekuwa na tabia ya udokozi udokozi wa hela.
Yeye haombi, akiona kuna laki atanivizia nikiwa nimelewa, anachomoa kama arobaini hivi anakaa kimya; huku akijua labda mimi nimepoteza kumbu kumbu.
Nikiuliza, mbona hapa hela imepungua; anasema labda...