wallace karia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wallace Karia aula, ashinda ujumbe wa kamati tendaji Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaofanyika leo huko Cairo,Misri. Karia ameshinda kwa kura nyingi za ndio kwa vile...
  2. Nina mashaka na uraia wa ndugu Wallace Karia

    Vyombo vya ulinzi na usalama especially Uhamiaji, lichunguzeni hili. === MAJIBU YA IDARA YA UHAMIAJI KUHUSU URAIA WA WALLACE KARIA
  3. Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  4. D

    Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

    BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
  5. N

    Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR. Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...
  6. D

    Watanzania tusidanganyane ni muda wa karia to go

    I wll be short 1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned. ie : yanga watapewa Azam fc wakitaka tu kwenda nusu fainali. au robo fainali. kama last season. kama...
  7. Wallace Karia ndiye kiongozi wa muda wote wa mpira nchini mwenye mafanikio bora zaidi

    Embu tuwe wakweli kidogo, jumuisha Marais wote wa Nchi, Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara, Marais na Wenyeviti wa TFF na FAT, hakuna hata mmoja ukichukua mafanikio ya mpira nchini katika kipindi chake ambaye anamfikia Wallace Karia. Sikubaliani na kila anachofanya au...
  8. D

    Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

    Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale. In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu...
  9. Wallace Karia: Jwaneng galaxy FC kufanya mazoezi Avic town ni uzushi na siyo habari za ukweli Bali ni propaganda tu

    "Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi. Credit kwa Azam sports.
  10. Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi? Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
  11. Hivi nisiyemwelewa Rais wa TFF Wallace Karia ni Mimi tu pekee au?

    Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia. Chanzo: Sports Headquarters EFM leo Mwenyezi Mungu anisamehe na Members hapa JamiiForums mnisamehe ila kwa Kauli za Rais...
  12. D

    Rais Samia: Wallace Karia ni Simba

    Jana katika hafla ya kuipongeza timu ya Yanga ikulu Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu ametegua siri ya mapenzi na ushabiki wa timu anayoishabikia Rais wa TFF Walace Karia. Kwa muda mrefu Karia amekuwa akihusishwa na mapenzi ya lia lia na timu ya Simba lakini mwenyewe amekuwa akidai yeye ni...
  13. Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  14. Wallace Karia anaendaga mikutano ya CAF bila ajenda?

    Mwaka huu michuano ya kimataifa ya vilabu mambo mbali mbali yamejitokeza..... Nafikiri kazi ya kiongozi wa Tff ni kutetea nchi yake na kupenyeza agenda zitakazoisaidia huko kwenye shirikisho... Nafikiri hizi agenda zifuatazo zinapaswa sasa kupiganiwa na Tff... 1. Goli la ugenini lifutwe... 2...
  15. Tukio hili la SIMBA linapingana na kauli ya Wallace Karia

    Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake wakaendesha misa ya mzaha kuibeza Yanga kufungwa na Vipers mwaka huu. Alipotoka ndani ya jeneza akaimba...
  16. M

    Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
  17. N

    Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

    Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana Kwa...
  18. Zama za Wallace Karia zimewadia

    Boss wa TFF zama zake zinaelekea ukingoni kwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuendesha TFF na kuichezesha segere atakavyo ni suala la muda tu atang'oka si ajabu akawa anatokea Segerea, ni suala la muda tu amegusa kwenye mfupa wenye nyama na kaingia king mwenyewe.
  19. Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

    Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm. Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu. Sasa...
  20. Wallace Karia: Wanaojiita Wachambuzi sijui wamesomea wapi, hawautendei haki mpira wetu

    Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Wallace Karia kwenye semina iliyofanyika jana, amesema kuwa katika watu ambao hawautendei haki mpira wa Tanzania ni Wachambuzi wa mpira, wanaongea sana mpaka wanatoka nje ya mstari na kuharibu mpira. "Kuna wanaojiita Wachambuzi, sijui uchambuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…