wana

The Middle East and North Africa (MENA), also referred to as West Asia and North Africa (WANA) or South West Asia and North Africa (SWANA), is a geographic region which comprises the Middle East (also called West Asia) and North Africa together. It exists as an alternative to the concept of the Greater Middle East, which comprises the bulk of the Muslim world. The region has no standardized definition and groupings may vary, but the term typically includes countries like Algeria, Bahrain, Egypt, Iraq, Israel, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen.
As a regional identifier, the term "MENA" is often used in academia, military planning, disaster relief, media planning (as a broadcast region), and business writing. Moreover, it shares a number of cultural, economic, and environmental similarities across the countries that it spans; for example, some of the most extreme impacts of climate change will be felt in MENA.
Some related terms have a wider definition than MENA, such as MENASA (lit. 'Middle East and North Africa and South Asia') or MENAP (lit. 'Middle East and North Africa and Afghanistan and Pakistan'). The term MENAT explicitly includes Turkey, which is usually excluded from some MENA definitions, even though Turkey is almost always considered part of the Middle East proper. Ultimately, MENA can be considered as a grouping scheme that brings together most of the Arab League and variously includes their neighbors, like Iran, Turkey, Israel, Cyprus, the Caucasian countries, Afghanistan, Pakistan, Malta, and a few others.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

    Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani! Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini single Mothers huwa wana mahasira muda wote?

    Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi. Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
  5. JamiiForums Tanzania Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu? Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje? Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want? Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana...
  6. JamiiForums Tanzania Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

    Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele. https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
  7. JamiiForums Tanzania Hivi waislamu wana kinga dhidi ya majanga?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu...
  8. JamiiForums Tanzania Mabinti wa kipare wana Password (video)

    Kijana Pata password upewe kazi
  9. JamiiForums Tanzania Mount meru hospital Arusha naomba muwe serous na majibu yawagonjwa,,Yan madaktar wana kaz ya kuingia na kutoka kama mpo sokon

    Mount meru Arusha naomba muwe serous,,,,hasa madaktar upande wa. Kutoa majibu ya vipimo ya wagonjwa,,,, kaz n kuingia na kutoka kama mpo sokon.
  10. JamiiForums Tanzania Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

    MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea . Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  12. JamiiForums Tanzania Wana jukwaa, hivi mtu kama huyu angepataje tunzo ya masuala ya haki tena kimataifa?

    Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna watu Wana akili sana kama wanasiasa, kupitia Elnino ndo nimeamini.

    Issue ya Elnino imeonesha kuwa wanasiasa ni Genius
  14. JamiiForums Tanzania WASANII WA KIBONGO WANAOTUMIKA KISIASA WANA LA KUJIFUNZA KUTOKA KWA 50CENT

  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mvomero, Watumishi tunaotumia CRDB hatujalipwa fedha za kujikimu huku wanaotumia NMB wamelipwa

    Walimu wa shule za sekondari tulioajiriwa mwaka 2025 na 2026 na tunaotumia Benki ya CRDB kupokea stahiki zetu, hususan fedha za kujikimu, tunakabiliwa na changamoto ya kucheleweshewa malipo yetu. Katika orodha ya walimu tuliostahili kulipwa fedha hizo, walimu wanaotumia Benki ya NMB pekee ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Wana JF niwatake radhi.

    Kwanza kabisa nianze na Kutoa Shukran kwa waendeshaji wa jukwaa hili, japo lina changamoto zake, ila bado lina mchango mkubwa sana. Nimeweza kujiona Niki kuwa katika mtazamo since najiunga humu... Hauwezi kuona ila uki look back to how ulikuwa unafikiri na kuchangia mada 3 or 4 yrs ago ndo...
  17. JamiiForums Tanzania Chivayo, Peter wa royal tour, Kikwete na Paul Makonda wana siri gani

    Hawa mabwana inaonesha kuna jambo wanashirikiana, je hii si hujuma kwa watanzania na familia ya kiongozi mkuu? Inaonesha wote wamekula keki ya taifa.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtutsi ni mtu ambae hapendi kuongozwa na Mbantu, Pamoja na kuwa wachache atafanya lolote apate uongozi au usawa kwenye uongozi sehemu yenye wabantu

    Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23. Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naona watu wengi wana share sana hints za kujua mwanamke au mwanaume wa kutomletea majanga mbeleni. Nipende kuwaambia hamjui "HUMAN NATURE"

    Matukio ya mauaji baina ya wenza hivi karibuni yamezua mijadala na mihemuko Hata masikini wanaekeana sumu kwenye chakula na hakuna chochote atakachokirithi kama mume huyo akifariki. tabia njema na sura ya upole sio njia ya mke au mume mwema. MAbadiriko ni njia ya mwanadamu, haujui wife...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…