Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia utadhani wako mpirani wakati jamaa alikuwa katikati ya kifo na mauti,...Wanatamani lile zari lingewatokea...