wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Money Penny

    Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

    Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
  2. Mshangazi dot com

    Kwanini wanaume wanawachukia sana wanawake?

    Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona limekua jambo la kawaida hasa huku mitandaoni na hata huko nje kwenye jamii zetu. Naomba nisaidiwe...
  3. Eli Cohen

    Hakimu anamuuliza huyu binti, "kwa nini ulimuacha huyu kijana?", binti anajibu "i thought he was too nice" ila wanawake, duuh🤣🤣

    "i thought he was too nice" Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari. Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli wanawake wengi hawapendi good and honest guys, wanakuwa wanakudharau sana ukiwa hivi Fantasy yao huwa...
  4. F

    Tupunguze kuwasema wanawake vibaya

    Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?
  5. Damaso

    Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  6. CARIFONIA

    Wanaume hamuwafahamu vizuri wanawake

    Wanaume 🥴 Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾 Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza. Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi. Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi yake. Ili kumiliki nafsi yake, lazima ushinde tabaka lake la KISIA. Tabaka la kisia ni lango la...
  7. Tajiri Sinabay

    Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

    Bila salamu. MTAANI. Ukweli iko wazi wakipita wanawake 15 wembamba mbele ya wanaume, wanaume tutageuka mara moja tu na kuendelea na shughuli zetu. Lakini ukipita wewe chibonge mmoja tu mbele ya wanaume kwa hakika shughuli za eneo hilo zitasimama hadi pale utakapopotela unakoenda. NDANI...
  8. I

    Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali) Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa...
  9. K

    Mapungufu ya viongozi wanawake ni kuogopa wenzao

    Tatizo la viongozi hawa Mama zetu ni kwamba wanaogopana wenyewe kuliko kuogopa viongozi wanaume. Tuone tu mfano wa huyu Mama Viongozi wote wanawake ambao yeye mwenyewe ndiye alikuwa anataka kuwa kama wenyewe ndiye wa kwanza kuwaogopa. Akiona wanapata sifa zaidi yake Mama Samia amekimbilia...
  10. K

    Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

    Inaumiza sana sana sana Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia) Kama wewe ni mfuatiliaji wa...
  11. FRANCIS DA DON

    Je, ile kauli ya wanawake hawapendani inaweza kuzaa matunda Oktoba 2025?

    Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake hawapendani….” Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
  12. M

    Majukumu ya nyumbani sio kikwazo tena kwa Wanawake kugombea uongozi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na kuheshimu haki za Wanawake kama Haki za Binaadamu. Licha ya kuwa Katiba ya nchi inatambua haki za raia...
  13. Mshangazi dot com

    Kwanini wanawake wengi hawataki kuzaa?

    Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu). Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa...
  14. T

    Wanawake ni viumbe wasioridhika kamwe. Tuendelee kuishi nao kwa akili

    a
  15. B

    Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

    Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi. Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano Peter Kibatala John Mallya Dickson Matata Tundu Lissu Peter Madereka...
  16. kiredio Jr

    Naombeni sifa za wanawake au mabinti kutoka Mafia

    Natanguliza Salam kwenu wadau wa jukwaa hili Kama kichwa kinavyosema naomba kujuzwa kwa wale wanao fahamu sifa au characteristics za wanawake kutoka kisiwa cha mafia. Ndugu yenu nataka kujua mbili tatu kabla sijawekeza hisia na resources pia.
  17. Moto wa volcano

    Kuoa wanawake wengi sio dhambi

    Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya...
  18. Yoda

    Mateso ya wanawake chini ya kanisa kupitia Magdalene Laundries, vituo vya mateso vya kanisa kurekebisha wanawake tabia huko Ulaya

    Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao. Wanawake wengi...
  19. G

    Elon Musk , asema anawaheshimu wanawake japo ni watu ambao hawezi kuwaamini milele

    Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani. Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta wakipoteza Mali nyingi walizotafuta kwa jasho lao bila usaidizi wa wenza wao. Amesema ataiuza sex robot...
  20. Sir John Roberts

    Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

    Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi . Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali...
Back
Top Bottom