wasanii

  1. Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  2. Katibu Tawala Mara asema Mikopo ya serikali sio zawadi rejesheni kwa wakati. Tusisahau mikopo waliopewa wasanii nao warejeshe harakaa

    Wakuu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
  3. Wasanii wa Bongo hawawezi kuimba LIVE (ukweli sio tusi)

    Kuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa. Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa. Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji. Imba kutoka moyoni na tumboni na usiimbie kooni. Toa sauti toka tumboni umiliki wimbo uwe wako. Angalieni...
  4. B

    Wasanii na watangazaji mama kawabeba sana. Sasa ni zamu yenu kumbeba kuelekea oktoba

    Mambo vp wakuu. Wasanii mama kawabeba sana, mikutano yote mpo nae anawakusanya wasanii wote wa muziki na uigizaji. Wengine Hadi china Kawapeleka lakini mbona na nyie hamjitoi kwake kwakutumia sanaa yenu? Mnaishia kupost tu Instagram kwel.!!!!! Wasanii tengenezeni documentarys za kuonyesha...
  5. Makalla: CCM inaweza kujaza mikutano bila wasanii

    Wakuu, Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂 Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa wanaitukutuza CCM hawatokei. Vijana hawa tunaowana wanajitoa akili saivi hata vumbi lao hutaliona...
  6. Wachezaji na wasanii toka DRC rudini nyumbani mkaikomboe nchi yenu

    Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa na miaka 18 tu,nilijitolea kamamgambo tukapewa mafunzo ya ukuruta mimi na wenzangu. Huko Ukraini pia...
  7. T

    Pre GE2025 Huu ndiyo ubunifu wa wasanii au ni kujitoa akili?

    Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM. Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya...
  8. T

    Pre GE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

    Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
  9. Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

    Wakuu, Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini? Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho. Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu. Ni aibu kubwa sana...
  10. Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

    Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari. Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It...
  11. Naombeni kujua Impact ya wasanii wetu wanaovaa kinyume na maadili kwenye Mikutano ya Kitaifa

    Kuvaa nguo zisizo za heshima ni moja ya sifa za wanamuziki wetu. Wote tumeona na tunaangalia TV chanel zetu za ndani. Siyo vyema kusimulia zaidi kinachoonekana kwenye miili ya wanamuziki hao ambacho kimaadili hasa ya Kitanzania, hakikupaswa. Tuje kwenye mada. Ninaomba kuelezwa na mtu yeyote...
  12. Wasanii -Bongo movie siwaoni Energy Summit, tatizo lugha?

    Nilitegemea kama mlivyojikusanya Dodoma Mkutano Mkuu Mbogamboga na hapa Africa Energy Summit muwe wengi vile vile au lugha mzozo?
  13. Unaamka asubuhi hakuna maji,sekunde kadhaa unaambiwa ukamkamate mtu kwakuwa ameandika mtandaoni kuwa mtaa wake hauna maji. Ni kazi yako unibidi utii

    Najua wenyewe hawapendi. Ni kazi tu za order. Uzi tayari
  14. K

    Wasanii wa Tanzania wameanza ku dharauliwa la vijana

    Huu ni mwanzo tu tumeona huko Dodoma wasanii walikuwa kama sanamu vijana hawakuwaaikiliza wala kuwachukulia umuhimu. Vijana wote walikuwa wanamwangalia Lissu na Heche. Vijana wameanza kujua hawa ni machawa na hawana faida kwao yeyeote zaidi ya kiki na nyimbo zao. CCM watapoteza pesa bure...
  15. Inasikitisha pengine wasanii wetu hawapo huru wameamua kujihusisha na siasa ili kulinda kazi zao na mali zao

    Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo fikiri kwamba labda wanapenda kufanya hivyo. Kwa mtizamo wangu nazani kwa mfumo wa siasa za hivi leo...
  16. Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  17. Roma Mkatoliki abariki wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM. Kwa sababu yanawanufaisha.

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X. "Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!! Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
  18. Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

    Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu. Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
  19. M

    Wasanii wengi sana waitwa Dodoma mkutano wa CCM

    Hakika CCM ni chama kubwa sana. Lakini ninawaza tu kuwa: 1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika 2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu. Gharama za wasanii: 1. Usafiri 2. Malazi 3. Chakula 4. Posho Ninajua hizo...
  20. CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…