Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Kwa msaada wa police
 

Kwa hiyo Serikali inafanya kazi kwa kusikiliza hoja za wabunge wa upinzani?
 
Hii habari ina ukweli fulani hivi...kama waliweza kwa goli la mkono....je kwa mtutu wa bunduki si majimbo yote yanabebwa tu....labda lile moja alilosema Polepole hata sijui alimaanisha jimbo la nani.
Kaliuwa tabora kwa yule mke wa prof lipumb*uu muunga mkono wa kila hoja
 
Na wote watapita bila kupingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo Serikali inafanya kazi kwa kusikiliza hoja za wabunge wa upinzani?
Nikusahihishe Mkuu.
Serikali imeshindwa kuleta Maisha bora kwa Watanzania kwa kutosikiliza na kufanyia kazi Ushauri wa Wabunge wa Upinzani.
 
Nikusahihishe Mkuu.
Serikali imeshindwa kuleta Maisha bora kwa Watanzania kwa kutosikiliza na kufanyia kazi Ushauri wa Wabunge wa Upinzani.

Huwezi kuleta maendeleo kwa kila mwananchi unachotakiwa kufanya unaleta maendeleo ya jumla,

Hata ukiwa Baba wa Familia huwezi ukawaletea watoto maisha bora utakachofanya ni unawapa elimu bora,halafu waje watafute maendeleo mwenywe...

Kwa hiyo tunaboresha miundombinu kwanza halafu mengine mazuri yatakuja...


Ushauri wa wabunge wa upinzani wakati hawana hata ofisi maalum ya chama Taifa?

Muda mwingine muwe mnakaa kimya...

Onyesheni mfano kwanza kwa kujenga ofisi ya chama....
 
Kwa nijuavyo Mimi mtu hawezi kuzungumza Jambo pasi na kulifanyia utafiti kinyume chake Ni kujidanganya.Nafikiri mbali Kama watanzania wataamua kipa ccm ushindi wa kishindo hayo Ni maamuzi yao na dunia haitashangaa hata kidogo kwa kuwa dunia kwa Sasa inakimbia kuelekea mapinduzi makubwa ya kiteknolojia na si nani ameshinda kwa asilimia ngapi.Sote tumeshuhudia kile kilichoitwa uzalendo wa kiongozi aliyepo madarakani mwisho wake Ni udikteta uliokithiri.Ccm ikishinda kwa asilimia 100 hakutakuwa na jipya lolote kwa faida ya nchi kwa kuwa hakutakuwa na upinzani na ikumbukwe kuwa mtu hawezi kujikimbiza mwenyewe then akajisifu kuwa Ni mshindi.
 
Mkuu utajichanganya tu, CCM haitaweza sababu imeshindwa hayo yote kwa awamu zote 5.

sasa umehamia kwenye mada ya Ofisi za chama πŸ˜‚
Hivi tu wanapanga ofisi mnazuia wasifanye siasa, na Bungeni hamuwawezi kwa hoja.

Hivi tu hawana ofisi mnaiba kura na kuwafunga.
Siku wakijenga ofisi si mtakimbia Nchi !πŸ˜‚
 

Mkijiletea maendeleo ninyi mwenywe tutajua kuwa mna nia ya dhati kabisa,

Awamu nne imeshindwa lkn awamu hii ya tano ni kiboko,tatizo hamtembei mmejifungia ndani na kuleta ubishi huku mtandaoni tembea Tanzania uone mambo yanayofanyika Mkuu..
 


Kutakuwa kuna uchaguzi Mkuu huru na wa haki sasa JPM akiwabwaga wote kwanini asijisifu?

Yaan kwenye nafasi ya urais watokee 10 halafu mmoja aibuke kidedea kwenye hao 10 kwanini asijisifu?
 
Mkijiletea maendeleo ninyi mwenywe tutajua kuwa mna nia ya dhati kabisa,

Awamu nne imeshindwa lkn awamu hii ya tano ni kiboko,tatizo hamtembei mmejifungia ndani na kuleta ubishi huku mtandaoni tembea Tanzania uone mambo yanayofanyika Mkuu..
Mkuu natamani ningeyafurahia kama wewe, ila kwangu Maendeleo ni zaidi ya hivyo unavyosifia awamu hii.

Mkoloni(Muingereza) walikua wanakasi ya maendeleo kuliko awamu hii na bado tuliwatimua, Tafakari

Unadhani tulikua hatutaki maendeleo?

TANU walikua na ofisi wapi kabla ya 1961?
 
Nani atasoma huu upuuzi wako!? 😳😳😳
Teuzi imegoma endelea kujikomba.

 
Ngoja tuone Kama usemayo ni kweli
 
Lazima uambiwe upuuzi wako unaoandika humu ili kujikomba kwa dhalimu hakuna msomaji na wengine walishakwambia. JIONGEZE UBADILIKE instead of destroying your reputation which is already in a very bad shape.

Wasiosoma upuuzi, hata post hachangii.
Nakutakia Jumamosi njema.
P
 
Kutakuwa kuna uchaguzi Mkuu huru na wa haki sasa JPM akiwabwaga wote kwanini asijisifu?

Yaan kwenye nafasi ya urais watokee 10 halafu mmoja aibuke kidedea kwenye hao 10 kwanini asijisifu?
Kwa mazingira tuliyonayo hayaoneshi Kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki.Kinachofanyika Sasa nchini Ni Kama kufanya riadha isiyo na pa kuanzia Wala sehemu ya kuishia,hakuna mwamuzi anayeweza kutenda haki na ndiyo maana watu wengi wanafikiri kwa hakika kuwa JPM atashinda kwa kishindo si kwa sababu anakubalika na watu wote la hasha Bali mazingira ya uchaguzi wenyewe yanambeba.
 
Nchi yetu maendeleo yetu chagua Ccm chagua magufuri # hapa kazi tu#2020/2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…