2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hivi hawa wachezaji wetu wa Tanzania walioko huko afcon wanaangalia hii match kweli..
Kwa viwango na mchezo unaochezwa hapa Kwakweli wanamoyo sana mm ningejihudhuru kabisa kucheza maana ni aibu sana.
Feisal nasikia yupo na yule mama wa ki algeria alimsindikiza airport baada ya kufukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…