2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mke naona bora Ivory coast watoke tuu...walimnyia hiyo kazi kolo toure wakampa mzungu wa miaka 70+ watolewe tuu.
Kama tz tuu wanawanyima wazawa kazi wanaenda kuwapa waarabu kazi...nao watolewe tuu

Kwa Tanzania ni sawa tu kupewa waarabu, mbongo unampa timu halafu anashindwa kuimeneji mwisho wa siku unasikia mara pesa zinapigwa juu juu.

Waarabu wapewe kila kitu, hata tanesco wapewe, secta ya maji wapewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…