Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hojaHii michuano Kuna giants wanaenda kuaga mashindano round mzunguko tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaHii michuano Kuna giants wanaenda kuaga mashindano round mzunguko tu
Mwenyeji kazi anayo aisee.Naunga mkono hoja
Sema watanunua mechi haoMwenyeji kazi anayo aisee.
we utakuwa mshabiki wa liverpool na salah!
Patamu hapo....Mtihani sana kwa mwenyeji aisee.
Kwa sababu sare tu inamvusha Equatorial Guinea.
View attachment 2876304
Mke naona bora Ivory coast watoke tuu...walimnyia hiyo kazi kolo toure wakampa mzungu wa miaka 70+ watolewe tuu.
Mke naona bora Ivory coast watoke tuu...walimnyia hiyo kazi kolo toure wakampa mzungu wa miaka 70+ watolewe tuu.
Kama tz tuu wanawanyima wazawa kazi wanaenda kuwapa waarabu kazi...nao watolewe tuu
Iko waziMechi ijayo anaweza kufa tena
Zipo Open Sana Leo Hizo Ambazo Kama Home Team Zinashinda Zote.Mechi za leoView attachment 2876473
Acha kabisa Mzab.Patamu hapo....
Wamakonde Kama wamakonde
Yaani imefikia egypt wa kukaza fako tena ili apate best loser...boli limebadilikaUzuri haya mashindano kuna Nafasi 3 za best looser Kwahiyo Egypt wakikaza matako vizuri wanaweza kupita.