2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Penalty kukosa sio ajabu hata hao uliowataja walipokosa tuliwatukanisha[emoji16]

Lkn unaweza kuniambia penalty ya muhimu ambayo messi aliwahi kukosa?
Fainal ya Copa America, Argentina Vs Chile, game baada ya kuisha droo ikaenda kwenye mikwaju ya penati, Messi akapiga mnazi na Argentina walikosa ubingwa na akatangaza kustaafu timu ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…