Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,301
🤣🤣🤣 vp sisi hatuna uzembe?Hawa wacongomani tukitulia tunaweza kuja kuwafunga, wana uzembe mwingi mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 vp sisi hatuna uzembe?Hawa wacongomani tukitulia tunaweza kuja kuwafunga, wana uzembe mwingi mno.
Huyo tumpuuzeMkuu umeuliza serious au unatania?
Kaa kwa kutulia mkuu!!
Argentina vs Poland world cup iliyopita. Szczesny aliokoa penalty yake. Ameshakosa jumla ya penalty 25Penalty kukosa sio ajabu hata hao uliowataja walipokosa tuliwatukanisha[emoji16]
Lkn unaweza kuniambia penalty ya muhimu ambayo messi aliwahi kukosa?
Fainal ya Copa America, Argentina Vs Chile, game baada ya kuisha droo ikaenda kwenye mikwaju ya penati, Messi akapiga mnazi na Argentina walikosa ubingwa na akatangaza kustaafu timu ya taifaPenalty kukosa sio ajabu hata hao uliowataja walipokosa tuliwatukanisha[emoji16]
Lkn unaweza kuniambia penalty ya muhimu ambayo messi aliwahi kukosa?
Nafahamu kiwango chetu kipo chini ndomaana nikasema tukitulia na kujikaza tunaweza kuambulia kitu.🤣🤣🤣 vp sisi hatuna uzembe?
Mayele bado hajagusa mpira
Inasemekana hajui kuandika, jioni sana ndio anakuja kusaidiwa kuandika na mdogo wake
You are a foolMayele akitupia mtamkoma mitandaoni
Bora hata Mayele ameleta uhai huko mbeleMayele bado hajagusa mpira
Naunga mkono hojaWakongo wanavipaji ila ndio hivyo kuna wakati huwa hawapo seriasi
Usirias wa Congo huwa unakuja na posho wanazolipwa
Km hawalipwi posho wao kuchomesha kitu cha kawaida tu