2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Bora tutoke ili tupone kuona hii eyesore kwa mara nyingine. Unaweza sema watu wamepatwa red eyes kumbe ni kuangalia mpira mbovu wa stars
 
Hawa wapuuz Ivory Cost wanafurahia kupita kama Best looser.

Wkt wanakutana na Senegal [emoji23]... Team yao yenyw mbovu wanatafuta aibu tu na kung'oa tena viti.
 
Yan tunaonekana kama kituko.. Yan ujinga wetu ndo umefny had leo tumetoka kuanzia tu Game ya Zambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…