safiYes ni yeye
Umerudi kama dakika mbili zilizopitaNgoja simu iishiwe charge. Unamkumbuka tu.
Kwangu mimi nafasi ngumu uwanjani huwa naiona ni ya kipa, hutegeiKipa kateseka sana pale alivyokuwa anasota had huruma
Msamehe mkuu.wew una mchezo kweli leo osimeh unakuja kulinganisha uchafu huo wachezaji wako wa timu ya taifa wanaocheza ligi za ulaya wameshindwa kufunga hata goli moja wameondoka na pumbu zao tu osimeh had mda huu ashafunga Goli moja unakuja kulinganisha uchafu wa mtibwa sjui kwanza msimu uliopita uliangalia ata mechi moja ya Seria A ya Napoli maana kwa maelekezo yako inaonekana hata huwaj tazama mechi yake hata moja
Anapapala kishenz kaja kama mlevi wa Mnanasi mpr ukapita kwapani.Huyi kipa wa Cameroon ni Onana aliyepooza
2nd half wamlete onana tupate burudaniHuyi kipa wa Cameroon ni Onana aliyepooza
Pia mimi sijaelewa maana beki alikuwa kwenye mstari wa goliNgoja niwe mkweli. Ile offside ya goli lililokataliwa imenifanya nijihisi sijui kila kitu kwenye mpira.