2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

wew una mchezo kweli leo osimeh unakuja kulinganisha uchafu huo wachezaji wako wa timu ya taifa wanaocheza ligi za ulaya wameshindwa kufunga hata goli moja wameondoka na pumbu zao tu osimeh had mda huu ashafunga Goli moja unakuja kulinganisha uchafu wa mtibwa sjui kwanza msimu uliopita uliangalia ata mechi moja ya Seria A ya Napoli maana kwa maelekezo yako inaonekana hata huwaj tazama mechi yake hata moja
Msamehe mkuu.

Hajui sometimes mchezaj mkubwa akiwa kwny team mbovu lzm umuone kama hana mchango sana kwa sbb anaocheza nao ni washenz.
 
Back
Top Bottom