Ndo shida ya kuwa na wachezaji wanaojifanya masupa staa kwny timu ya Taifa..ref Mbwana Samata..kule Genk alikua anakipiga akifika Taifa stars hata shot on target moja hana...Egypt before Salah- 7 AFCON trophies.
Egypt with Salah- 0 AFCON trophies.
Sie tulikua na Monsieur mmoja alikua mnoko sio kidogo ni alitucharaza mijeredi hatari afu alikua anashika fimbo dabo Alooooooohh utake usitake utalisoma tu😂Afadhali rafiki.
Mie nilikimbiaga hili somo. 😂😂😂
Kabisa Mkuu.2026 hatuwataki kabisa waende huko Arab nation league
Poleni sana rafiki jana mlilia sio kitoto 😂🤭Nilianza kuipenda penda Equatorial Guinea kilichoniuma jana lile bao tulilofungwa la jioni. Lol.
Nilisikitika sana mana nilijua tutadema dema mpaka mikwaju ya penalti mwishowe ikawa kinyume. Aiseee.
Mungu wa Batu ba,Congo alimuokoa..[emoji23][emoji23][emoji23] inonga kwenye penalt ana kitete sanaa.
Ahsante sana Rafiki.Poleni sana rafiki jana mlilia sio kitoto 😂🤭
😂😂😂 leo wanalo.😂😂😂😂!
Kama wenyeji hawana budi kukaza wasiliaibishe taifa
Lasivo mijerediiiiii
Rafiki leo mwenyewe analooo tena sio kidogo akaze buti kisawasawaKabisa mwenyeji tunamuagisha tena mashindano leo rafiki. 🤣🤣🤣
Kabeeesa rafiki.Ahsante sana Rafiki.
Yaani hapa hata ubest score sijui kama ataupata yule Captain wetu Nsue mana mechi bado zipo huku sisi tumetolewa. 😌
Ila ngoja tuone huenda tukaambulia ako kakiatu. 😂😂
Hakiiiiiiiiika rafikiLeo nasimama na Senegal wenyeji wategemee maumivu tena leo. 🤸🏽🤸🏽
Team zangu ni mbili Super Eagles Nigeria na Bafanabafana south Africa... Nawakubali maana kikosi chao chote ni mamelod sundown wazee wa kazi chafu... Natarajia baadae watanitolea hao waarabuKabisa Mkuu.
Na ni vile tu Morocco anacheza na South Africa ambaye huwa simuelewagi nje ya hapo nao tungekuwa na uhakika kuwa kesho wanasepa tunabakia wenyewe.
Hahaha mimi nililipenda kwa moyo wote, kuna shule nilisoma mwanzo waliliweka optional tukawa wanafunzi wachache, baadaye wakaliweka compulsory hadi tukalifanyia na necta kabisaAfadhali rafiki.
Mie nilikimbiaga hili somo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabeeesa tunasimama upande wa bwana harusi Mane. 🤸🏽🤸🏽🤸🏽Hakiiiiiiiiika rafiki
Hurrraaayyy Senegal Hurrrrayy Mane🤠!
Kwa viongozi wangu wa Simba hii tutakuja kuwekewa kwenye orodha ya makombe
Nimecheka sana Mkuu ulivyoshangaa.Team zangu ni mbili Super Eagles Nigeria na Bafanabafana south Africa... Nawakubali maana kikosi chao chote ni mamelod sundown wazee wa kazi chafu... Natarajia baadae watanitolea hao waarabu
Japo kombe ni la Senegal😄
We ngojea Morocco atacheza tu Amapiano😂😂😂Nimecheka sana Mkuu ulivyoshangaa.
Nikajua lazima we utakuwa ni team Sauzi. 🤣🤣🤣
Hahahaaa. Umenikumbusha kitu Mkuu baada ya kuitaja Mamelody ujue mie siku zote najua Shalulile ni MSouth Africa nilikuja kushangaa kumbe ni mNamibia. Lol.Team zangu ni mbili Super Eagles Nigeria na Bafanabafana south Africa... Nawakubali maana kikosi chao chote ni mamelod sundown wazee wa kazi chafu... Natarajia baadae watanitolea hao waarabu
Japo kombe ni la Senegal😄
Nawatakia kila la kheri japo kiukweli kwa Timu zilizobakia sasa mpira upo Morocco na Senegal tu kwa upande wangu na Nigeria kwa mbaali.Team zangu ni mbili Super Eagles Nigeria na Bafanabafana south Africa... Nawakubali maana kikosi chao chote ni mamelod sundown wazee wa kazi chafu... Natarajia baadae watanitolea hao waarabu
Japo kombe ni la Senegal😄