Aloo kumbe tuko wengi, mwenyewe ndio nimejua juzi kwamba Peter Shalulile ni Mnamibia, hilo jina lake la mwisho limekaa Kiafrika kusiniHahahaaa. Umenikumbusha kitu Mkuu baada ya kuitaja Mamelody ujue mie siku zote najua Shalulile ni MSouth Africa nilikuja kushangaa kumbe ni mNamibia. Lol.
We ngojea Morocco atacheza tu Amapiano😂😂😂Nimecheka sana Mkuu ulivyoshangaa.
Nikajua lazima we utakuwa ni team Sauzi. 🤣🤣🤣
Ni makirikiri yeye 😃 Kwa ukanda wao wanaionea sana Namibia..Hahahaaa. Umenikumbusha kitu Mkuu baada ya kuitaja Mamelody ujue mie siku zote najua Shalulile ni MSouth Africa nilikuja kushangaa kumbe ni mNamibia. Lol.
Saafi. 👏Hahaha mimi nililipenda kwa moyo wote, kuna shule nilisoma mwanzo waliliweka optional tukawa wanafunzi wachache, baadaye wakaliweka compulsory hadi tukalifanyia na necta kabisa
Bingwa Senegal 😃Nawatakia kila la kheri japo kiukweli kwa Timu zilizobakia sasa mpira upo Morocco na Senegal tu kwa upande wangu na Nigeria kwa mbaali.
Hawa wengine sijawahi kuwaelewa mpira wao.
Hivyo kesho Bafana bafana mujipange hasa.
Yaani ile game yao na South Africa ujue nilimshangaa hata sikuamini.Aloo kumbe tuko wengi, mwenyewe ndio nimejua juzi kwamba Peter Shalulile ni Mnamibia, hilo jina lake la mwisho limekaa Kiafrika kusini
Japo Inonga mwenyewe ile penalti yake jana bado kidogo tu achomeshe.Kwa viongozi wangu wa Simba hii tutakuja kuwekewa kwenye orodha ya makombe
Sitarajii Mkuu ila ngoja tuone.We ngojea Morocco atacheza tu Amapiano😂😂😂
Yaani hadi nilimuhurumia. 😂Ni makirikiri yeye 😃 Kwa ukanda wao wanaionea sana Namibia..
Kala nne kwa Sauzi na tatu kwa Angola
Duuuh haikua fair, mayele kutocheza aaah, jana nilikosa kutazama match.Mayele hakucheza mpira jana
Angekosa kwa kweli tungemlaumu sana,kumbuka penati za nyongeza,Misri washapata yao,,wanawangoja wacongoman.
HaswaaahMungu wa Batu ba,Congo alimuokoa..
Mkuu hapo umenichanganya kidogo kumbe na Namibia ni makirikiri mimi nilijuaga makirikiri ni Botswana tu, kweli kwa Ukanda wao wanawaonea sana Namibia japo Angola nao wako vizuri, mwanzo nilikuwa nawachukulia poa ila nikatokea kuwakubali uchezaji wa kina Mabululu na Gelson DalaWe ngojea Morocco atacheza tu Amapiano[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni makirikiri yeye [emoji2] Kwa ukanda wao wanaionea sana Namibia..
Kala nne kwa Sauzi na tatu kwa Angola
Hahahaa. Sawa Mkuu.Bingwa Senegal 😃
Kesho jiandae kuona Amapiano safi kabisaa
Kusini ka kaskazini wakikutana miaka hii ni kama derby yan.... Mamelod anaonea sana team za waaarabu tutaona huo ubabe utaendelea adi team ya taifa au la
Sisi walijitahidi wakaleta hadi mwalimu mfaransa kabisa ili kuwavutia wanafunzi walisomeSaafi. [emoji122]
Afadhani wewe ulilipenda mie nilisoma tu ile form one tena kidogo baada ya hapo sikutakaga hata kulisikia. [emoji23]
Sema pia hatukuwa na walimu wa kueleweka hivyo halikuwekewa mkazo kiviile.
Sijui kwann ila mtu mstaarabu kama shalule akifungwa unaumia😃Sitarajii Mkuu ila ngoja tuone.
Yaani hadi nilimuhurumia. 😂
Sijui itakuwaje Quarter Final ujue Angola anakutana na Nigeria.Mkuu hapo umenichanganya kidogo kumbe na Namibia ni makirikiri mimi nilijuaga makirikiri ni Botswana tu, kweli kwa Ukanda wao wanawaonea sana Namibia japo Angola nao wako vizuri, mwanzo nilikuwa nawachukulia poa ila nikatokea kuwakubali uchezaji wa kina Mabululu na Gelson Dala
Muda utaongeaHahahaa. Sawa Mkuu.
Hiyo ni upande wa vilabu ujue Mkuu na zile ni Timu ya Taifa ambayo inakusanya wazuri wengi hao kina Ashraf Hakimi na Hakim Ziyech.
Sema tusubiri tuone Mkuu.
Sana yaani Mkuu.Sijui kwann ila mtu mstaarabu kama shalule akifungwa unaumia😃
Hakika Mkuu. 🤝Muda utaongea
Nadhan huu mwaka atachukuaSana yaani Mkuu.
Ila ndio hivyo hapa tumsubiri Champions League akiwa na Mamelody.
Kila la kheri kwao japo wale ni kina MWAKANUSU. 😂😂😂Nadhan huu mwaka atachukua