Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Morocco nae atatoka huyo anamcheza na watato wa kizulu wanagonga pasi waleeKwa mbali naona ufalme wa Timu za Taifa za Kiarabu unaenda kupotea vile.
Au ndo hii michuano hiu imewakataa mana mpaka hapa aliyebakia ni Morocco.
Nigeria hakuna timu pale, Angola anamuweka....! na final zinaingia senegal,Angola au cape VerdeSijui itakuwaje Quarter Final ujue Angola anakutana na Nigeria.
Naona kama watapigika vile. Au wataweza kujipapatua.
Uganga umeanza lini kilinge chako Kiko wapiiππ€£Nigeria hakuna timu pale, Angola anamuweka....! na final zinaingia senegal,Angola au cape Verde
Ni kweli hajaendana nayo kabisa, katika timu yao niliona ni Shalulile tu na yule Hotto wa Orlando Pirates ndio walikuwa wanajitahidi kupambana wafunge sema wenzao ndio walikuwa wanawaangusha, kwenye hizi timu za taifa magarasa mengi sana ukifuatilia wengi ni wale wanaochezea club ndogo na league ndogo wanaochezea club kubwa na league kubwa wanahesabikaYaani ile game yao na South Africa ujue nilimshangaa hata sikuamini.
Halafu nilivyo mjinga nikaona kama hajaendana na ile timu eti. [emoji23][emoji23]
Hapo sasa na mie hiyo ndio kati ya mechi ninazozisubiri kwa hamu nione nani atakuwa mbabe hapoSijui itakuwaje Quarter Final ujue Angola anakutana na Nigeria.
Naona kama watapigika vile. Au wataweza kujipapatua.
Hahaha hapo kwa Mauritania unaweza ukaanza tu kuhesabu maumivu mapema, furaha utaipata hapo kwa Senegali, mimi leo niko na "The Blue Sharks" Cabo Verde na "The Lions of Teranga" Senegal [emoji4][emoji4]Haya jamani, leo mapemaaaaa nataja timu zangu.
Mauritania japo nina wasiwasi na Senegal ambao ni uhakika.
Senegal Leo akitolewa ππ€£ hili kombe litakuwa la maajabuππ€£Hahaha hapo kwa Mauritania unaweza ukaanza tu kuhesabu maumivu mapema, furaha utaipata hapo kwa Senegali, mimi leo niko na "The Blue Sharks" Cabo Verde na "The Lions of Teranga" Senegal [emoji4][emoji4]
Naomba ratiba mechi za leo Mkuu....Leo Cape Verde na Ivory coast wanatinga Robo.
Mauritania Vs Cape Verde saa 2:00 usikuNaomba ratiba mechi za leo Mkuu....
ππ jana wamekata sebene sana hapa kitaani kwanguBana Kongo bana ya Nzambe
haya ndugu zangu wabantu, tumebakiza mwarabu mmoja tu ambaye ni morocco.
siku ya game tuungane wote kwa pamoja kusapoti south.
nauliza Morocco tumfanye niniiiiiiiiiiii?
Jipe moyo tu, wale ni world class atapigwa mpaka basi
ππ
Gemu za kesho zote kali Mauritania anaweza akafanya maajabu akamtoa Cabe Verde Ila gemu kali ni Senegal na Ivory Coast kesho Ivory Coast watang'oa viti maana lazima wafie uwanjani na Senegal lazima wapite
Tunza hii usiseme sikusema Mauritania atamshamgaza Cabe Verde Ila Ivory Coast atagongwa vibaya pamoja na kwamba yupo kwao
Huu mwaka tunabeba mkuuπKila la kheri kwao japo wale ni kina MWAKANUSU. πππ
Akitoka Afcon inaishia hapa... Wanatoka na kombeπSenegal Leo akitolewa ππ€£ hili kombe litakuwa la maajabuππ€£
Dah acha tuGABOKSI anatoboka toboka toboka toboka toboka π