[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani hata mimi naziangalia beshte?? Hahaha hizo tuwaachie wenyewe..
Morocco akitoka atachana mikeka ya watu wengi kama Senegal alivyochanaSana
Poleni jamani mm sikutaka kuwa upande wwt nisije nikaumia ..leo natamani niwashabikie SA...duuh kama ni saa tano siwezi..maana daily naamka saa 11 na nusu nitashindwa buree...bora ikiwa weekend..mbaya zaidi iende mpk mikwaju ya penalty duuh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mida hiyo Usingizi ahunipi nafasi kabisa..
😂 😂 😂
Nilikuwa naangalia Highlights ya Jana..Senegal & IC huku natetemeka utadhani mpira ndiyo unachezwa[emoji1787]
Senegal yangu imeaga bhana...
Ila huu wa leo Morocco najiona nikijikaza tu niangalie.[emoji1]
Na kwenye hii michuano mim adui yangu ni ivory coast tu akitoka ivory coast Africon yangu itakua imeishia apoSijasema atabeba, bali nasema tusubiri kuona mwisho wake.
Kila aliyefika robo, ana nafasi ya kusonga mbele...
Mwenyewe leo nipo na Wa'South....Poleni jamani mm sikutaka kuwa upande wwt nisije nikaumia ..leo natamani niwashabikie SA...duuh kama ni saa tano siwezi..maana daily naamka saa 11 na nusu nitashindwa buree...bora ikiwa weekend..mbaya zaidi iende mpk mikwaju ya penalty duuh
Dah yani jana nimepigwa na kitu kizito kwa Senegal. Ile ndio timu yangu imenipa shida kukubali.
Hao madogo hawana mbambambaa kiwajani ni kazi kazi tu, mshambuliaji akipigwa ngwara wanabinuka sarakasi kisha anasimama tayari kwa mapambano, yaani hawajiangushi hovyo hovyo kama wale wazee wakongwe 😂Naangalia kwanza upepo..ila mwaka huu CV na Angola nawaona wakifika mbali... 😆
Sanaaa yani kazi kazi..wanafurahisha sana...ngoja leo jioni tuone vyura 2 wakipambana 😆Hao madogo hawana mbambambaa kiwajani ni kazi kazi tu, mshambuliaji akipigwa ngwara wanabinuka sarakasi kisha anasimama tayari kwa mapambano, yaani hawajiangushi hovyo hovyo kama wala wazee wakongwe 😂
Lazima uboreke beshte..unafanya nini muda huo mwanamke?? Hyo mida tuwaachie wanaume..si unajua sisi ndo kila kitu kuwahi kuamka ni sisi... 😆 😆 😆Mwenyewe leo nipo na Wa'South....
Yes...ikiwa Weekend kidogo afadhali...
Ila mimi sasa ikishafika mida hiyo hata iwe Weekend..Saa tano nakuwa kama naboreka[emoji1]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kabisa Beshte....Lazima uboreke beshte..unafanya nini muda huo mwanamke?? Hyo mida tuwaachie wanaume..si unajua sisi ndo kila kitu kuwahi kuamka ni sisi... [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Uje upooze machungu Na Amapiano
Karibu sana😃Dah yani jana nimepigwa na kitu kizito kwa Senegal. Ile ndio timu yangu imenipa shida kukubali.
Leo nipo Mali & South Africa. Japo hata Burkinabe wakipita sio mbaya kuna mtu wetu pale.
Matumaini yangu ya AFCON 2023 yalipotea Jana. Hivi leo zinacheza zipi??Uje upooze machungu Na Amapiano
Poyeee...unataka timu ipi ichukue kombe baada ya Senegali kuondoshwa bi dada...?
Cabo Verde.....ndio wenye kombe. You can bet on thatPoyeee...unataka timu ipi ichukue kombe baada ya Senegali kuondoshwa bi dada...?
Acha unoko hiyo ni mipango tu.Azizi Kii kuanzia bench inatuambia nini?
Huwa sibeti ila nakubaliana na wewe...na Angola usiwasahau...Cabo Verde.....ndio wenye kombe. You can bet on that
Uje unishukuru badae