2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Huyo namuonaga mahaba yake yako Misri na Morocco, huoni team yake mamelodi sundown haizingatii yuko buzzy na Al ahly na Wydad. Mfyuuuh zake.
Hapana yeye ni rais wa michuano ya CAF hivyo anatakiwa kuwa neutral na kusupport timu zote bila kujali inayocheza ni klabu yake au taifa lake, Jana kuna commentator mmoja nilimsikia anasema kwamba anatakiwa asioneshe mahaba kwa taifa lolote au klabu yoyote ile maana ni rais wa shindano zima la CAF, huwezi kuniambia eti haipendi timu yake ya Mamelodi Sundowns au kwamba hajafurahia ushindi wa nchi yake SA..
 
Hizi ni siasa mnaleta
 

Aisee, umeongea facts, kuna watu wanaendeshwa na chuki+roho mbaya.
 
Kutolewa kwa timu za kaskazini ladha ya mpira kwangu imepungua kwakweli😃 kwa timu zilizobakia sidhani kama nitaangalia, especially wawakilishi wetu wa W/Cup 🇲🇦 nilikua nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu

Wajipange upya, next time!
 

Hamsha hamsha bado ipo sana ni wewe tu peke yako umepoteza hamasa,pole sana kwa timu yako kutolewa.
 
Nchi zote za Africa ya kaskazini Algeria, Misri, Morocco na Tunisia zimefurushwa nje. Sasa ukisikia Afcon ndio hii. Full back....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…