Ukitoa nchi nne za kaskazini kutolewa huku kwa full magiza zimetolewa ngapi?Nchi zote za Africa ya kaskazini Algeria, Misri, Morocco na Tunisia zimefurushwa nje. Sasa ukisikia Afcon ndio hii. Full back....
Mwarabu fakeKutolewa kwa timu za kaskazini ladha ya mpira kwangu imepungua kwakweli[emoji2] kwa timu zilizobakia sidhani kama nitaangalia, especially wawakilishi wetu wa W/Cup [emoji1173] nilikua nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu
Wajipange upya, next time!
Daah huzuni sanaa tumepangiwa Cape VerdeπͺHahahaaa. π€ Na mie nitajiangalia Mkuu siku mkicheza kama moyo wangu utaweza kuwashangilia. ππ
Kwani mnacheza na nani quarter final?
π π πDaah huzuni sanaa tumepangiwa Cape Verdeπͺ
Semaa kibabe tu watacheza Amapiano πjapo wagumu
Utuangalie hivyo hivyo nitawaambia vijana wajitaid wakufurahisheππ π π
Cape Verde x SA wanakutana vipi nusu wkt robo wanacheza wote?Nusu fainali :NIGERIA vs DRC na CAPE VERDE vs SA Fainali πRC vs SA Bingwa:SA
Kwa kweeli. πUtuangalie hivyo hivyo nitawaambia vijana wajitaid wakufurahisheπ
Aisee! Tunafanana rafiki mi pia kwa sasa sina hata Timu ya kushangilia na hata mood ya kukaa mpaka saa tano haipo.Senegal waliondoka na matumaini yangu yote nikakosa kabisa mood ya kuangalia mechi zilizobaki
cc Smart911
ππNa tukafanya jambo haswaaaaa, Amapiano bado tupoo Cote d voiree
Pumbav sana wale jamaa. Wanajionaga wa tofauti kweli. Faulo zikitokea wanaangalia kwenye kilaptop chao uchwaraMajamaa walikua na VAR yao kwenye ki laptop teh waarabu bana
Hilo limepitaHapa naomba Ivory Coast aage kwanza tukae kwa kutulia
Kabisa rafiki.Aisee! Tunafanana rafiki mi pia kwa sasa sina hata Timu ya kushangilia na hata mood ya kukaa mpaka saa tano haipo.
Bora nilale zangu mapema ili asubuhi nipate nguvu ya kwenda kulitumikia Taifa. π π
Congo hawezi kubeba ndoo, hiyo inabaki hapohapo inapofanyikia.Congo anabeba ndoo.