2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

one of the best game in Africon hongera mkongwe
 
Utafurahi kwa sababu kipa wao ni Diarra?
No... Ni kwasababu ya background yao mpaka wamefika hap.

Ivory Coast wameonesha mfano wa kwanini mtu ukipewa second chance haupaswi kufanya mess up.

Truth to be told....Mali hawajakutana na timu ngumu ni timu regular tu ambazo wako katika level sawa au sometimes wamezizidi.

Lakini pia ni funzo lingine kuwa ukipewa dhamana ya kuwa host wa mashindano lazima utetee heshima yako kuonesha kwanini uliaminiwa.
 
Mashabiki wakaanza kutupia chupa wachezaji wao 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…