2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ni fedha hakuna mifukoni, au ni Mahaba ya soka yapo chini...

Naondoka na Uchumi,Third World country,Hali mbaya ya raia kiuchumi!

Professional FOOTBALL ni product ya Industry revolution!
Hizi game zingepigwa Tz viwanja vingejaa mechi zote. Nafikiri mahaba ya soka na uchanga wa soka letu yanachangia.

Cot D'voire wana wachezaji wakubwa wanacheza nje hawana mwamko wa kuangalia majina makubwa ya timu nyingine.
 
Hawapo serious hao 😂
 
Kwamba South Africa ni timu rahisi🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…