Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwa mujibu wa Laban og, pacome aliitwa kwenye team ya taifa ila alikataa kwenda.Unamuachaje Pacome kama sio ufala?
Sasa hapo ufala ni wa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa Laban og, pacome aliitwa kwenye team ya taifa ila alikataa kwenda.Unamuachaje Pacome kama sio ufala?
Ndio, anajua sana huyu Bwana mdogo🤙Simon Adignra mtoto mdogo ila akili kubwa ya soka
Hizi game zingepigwa Tz viwanja vingejaa mechi zote. Nafikiri mahaba ya soka na uchanga wa soka letu yanachangia.Ni fedha hakuna mifukoni, au ni Mahaba ya soka yapo chini...
Naondoka na Uchumi,Third World country,Hali mbaya ya raia kiuchumi!
Professional FOOTBALL ni product ya Industry revolution!
Na uyo mwezake DiakiteNdio, anajua sana huyu Bwana mdogo[emoji1690]
Hawapo serious hao 😂No... Ni kwasababu ya background yao mpaka wamefika hap.
Ivory Coast wameonesha mfano wa kwanini mtu ukipewa second chance haupaswi kufanya mess up.
Truth to be told....Mali hawajakutana na timu ngumu ni timu regular tu ambazo wako katika level sawa au sometimes wamezizidi.
Lakini pia ni funzo lingine kuwa ukipewa dhamana ya kuwa host wa mashindano lazima utetee heshima yako kuonesha kwanini uliaminiwa.
😂🤣😁ila Mali wakifka matuta na huyu kipa wetu sjui kama tutatoboa ila lolote linaweza kutokea
Sasa mkuu kweli source yako ni Labani??🤣🤣Kwa mujibu wa Laban og, pacome aliitwa kwenye team ya taifa ila alikataa kwenda.
Sasa hapo ufala ni wa nani?
Kwamba South Africa ni timu rahisi🤣😂No... Ni kwasababu ya background yao mpaka wamefika hap.
Ivory Coast wameonesha mfano wa kwanini mtu ukipewa second chance haupaswi kufanya mess up.
Truth to be told....Mali hawajakutana na timu ngumu ni timu regular tu ambazo wako katika level sawa au sometimes wamezizidi.
Lakini pia ni funzo lingine kuwa ukipewa dhamana ya kuwa host wa mashindano lazima utetee heshima yako kuonesha kwanini uliaminiwa.
Naunga mkono hojaila sub ya dulla mbabe pale nyuma imeongeza sana kitu
Kipa wa mali. Kipa wetu ni manulaila Mali wakifka matuta na huyu kipa wetu sjui kama tutatoboa ila lolote linaweza kutokea
Kwamba wanacheza dk 200 sio 😄180 hiii apa 😂
asa sis leo tumeamua kuwa maliKipa wa mali. Kipa wetu ni manula