raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Yaani atue na ndege moja kwa moja golini huko klabuni kwenyewe magoli aliyofungwa yanataka kufika miaOnana kumekucha sasa huko hachekewi kusepa kesho huyu🤣🤣
Inasemwkana kasema hivi
"" If I wasn't going to play or make the team then why did I come here on a private jet ""
View: https://x.com/MickyJnr__/status/1746948869672386774?s=20
Umasikini+ miundombinu mibovu ya kuunganisha bara la afrikaAfrica kwenye haya mashindano iliacha kujaza mashabiki kitambo sana, hapo hadi acheze mwenyeji tu
Refa anatembeza kadi kama njugu
Hii nchi imelaaniwaTanesco toka asubuhi hola
poleni sanaHii nchi imelaaniwa
Imeleta madhara sanaDuh captain wa Guinea kapewa red card
😁😂Cameroon bado kazi anayo
nyekundu ya dhurumati ile refa mshamba sana yuleImeleta madhara sana
Halali Ile mkuu...nyekundu ya dhurumati ile refa mshamba sana yule
Huyu refa jau huyu ndo alizingua kwenye mechi ya Yanga na al-ahlynyekundu ya dhurumati ile refa mshamba sana yule
mabovu yamewekeza sana kwenye matumizi ya Nguvu mpira wa Dunia ya leo bado unacheza unatumia NguvuCameroon wanabahatisha..hawatengenezi nafasi..hawana mpira wa darasani kwahiyo hawana kocha
marefa wa ki Africa bwana ni wajabu sana kuna yule mlevi alikua anamalizia mechi dakika 85 naona msimu huu hawajampa nafasiHuyu refa jau huyu ndo alizingua kwenye mechi ya Yanga na al-ahly
Awe mpole tu..Yaani atue na ndege moja kwa moja golini huko klabuni kwenyewe magoli aliyofungwa yanataka kufika mia
Utoooo 🤣🤣🤣Huyu refa jau huyu ndo alizingua kwenye mechi ya Yanga na al-ahly