Kama umeshiba biriani wewe lala tu uisubiri Congo Dr fainaliHii mechi ya sasa hivi ndio Mdakuzi husema “Umekula biriani hujashiba ukaomba kuongezewa ukapewa bada”
Utopolo mtupu!
Mechi ya SA na Nigeria ilikuwa ya kufundishia darasani kabisa kwenye shule za soka.
🔥 Bado hatua mojaKombe linaenda Nigeria
Ni kam kapo kongo sijuiHii mechi ya Congo Ivory coast Kapaka kanasemaje kwani???
Umeandika as if Nigeria [emoji1184] hajawahi kuchukua ndoo hapo katikati. 2013Nigeria wana wachezaji wengi wazuri lakini kocha anashindwa kupata muunganiko ili wacheze vizuri. Wale South Africa wana wachezaji wa daraja la kati tu hata subs zao haziwezi kukutisha ila wanacheza kitimu sana na ni kwasababu wengi wengi wanacheza timu moja so wanaelewana sana. All in all napenda Nigeria achukue hii ndoo this time. Mwaka 2000 walitolewa na Cameroon kwenye final na mwaka 2002 wakatolewa nusu final na Senegal. Ni miaka ambayo Nigeria alikua na kikosi bora sana cha soka Barani Africa. Since then nimekua shabiki mkubwa wa the Super Eagles ukizingatia miaka hiyo Taifa Stars ndo ilikua kichwa cha mwendawazimu haswaa bora hata sasa. Final ya mwaka 2000 ilinitoa machozi nikishuhudia Nwanko Kanu mchezaji wa Arsenal yangu toka nitoke anakosa mkwaju wa penalty na Victor Ikpeba huku Cameroon wakikosa mkwaju mmoja wa penalty kupitia kwa mwamba kweli kweli marehemu Marc Vivien Foe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni Wissa.Huyu Mwisa anakosaga sana magoli
Miivory coast inandumba hiiShabikia Ivory Coast basi inaonekana una kitu cha kutusaidia leo 🤣🤣🤣
Na Simba imetajwa vilevileWanasema Inonga ndiye mchezaji pekee wa DRC kikosini leo anayecheza Afrika. Ni wakati sasa wajamaa kuachana na habari za Makolo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni Wissa.
Hata hivyo ilikuwa offside
AsavaliNi kam kapo kongo sijui
Nimejiuliza sana baada ya kuona hivyoafrika mambo yetu yanafanana tu mchezaji wa Ivory coast kaumia mtoa huduma anamsafisha kidonda bila kuvaa gloves.
Kanasema Congo [emoji1078] ndio mshindiHii mechi ya Congo Ivory coast Kapaka kanasemaje kwani???
Aamin aamin!Kanasema Congo [emoji1078] ndio mshindi