Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Na bora imekuwa hivyo la sivyo inge deflectSema pale Inonga aliachia sana tobo😀
HaiwezekaniNa hizi krosi wanazoacha zipgwe ovyo Sebastian haller anawafumua wakiendelea kuzubaa
Bora kiungo. Yaani ni kama Ball Boy tu [emoji28][emoji28] halafu kocha ndio humpenda kama mwanaeBakambu mabeki huwa hawamuogopi kabisa. Wanamuona kama kiungo tu
Kila la kheriAsavali
Tena uswahilini hasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inonga tumpe maua yake...peke yake anacheza uswahilini
Me nikajua umegombana n Ivory CoastSio wengine, ni DRC.
Hayo maua amekuwa nyuki atengenezee asali?Inonga tumpe maua yake...peke yake anacheza uswahilini
Kama nlimskia nazareth akisema wamevaa kipinga mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini kwaoKwa nini wachezaji wa Congo wamevaa vitambaa vyeusi?
Vyovyote vile, Inonga hatakiwi kucheza fainali.Me nikajua umegombana n Ivory Coast
Aingie Mvupa na Banza mbele watachangamkaHapa Congo [emoji1078] akiingia SILAS KATOMPA MVUMPA ndio atabadili upepo maana yule jamaa ni mzuri sana kwa counter attack
ivory coast wapo direct sana wanaweza wakakaa nyuma kwa kwa kipindi kifupi tu ila wakiamu kutoka wanatoka na wanakuja direct hakuna kurudi NyumaKwa tuliowaangalia Ivory Coast tokea mwanzo wako kama wine, kadiri muda unavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa bora.
Ni hatari zaidi kipindi cha pili na muda wa nyongeza.
Watakuja muua kwenye tobo dunda 😀Na bora imekuwa hivyo la sivyo inge deflect
Congo haina mapigano nchi nzima, iko na vita sehemu tu ya ukanda kwa mfano tz iwe na amani sehemu kuubwa afu let's say kigoma wakawa na mapigano yasiyoishaIla hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje
Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
SahihiKama nlimskia nazareth akisema wamevaa kipinga mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini kwao