United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
kwani kuwa na kila kitu Ndio kuwa na Vipaji Congo ki asili ni watu wa soka Na Ndio maana wamewahi kucheza hadi fainali za kombe la Dunia kiufupi Wa Congo wana Asili ya vipaji vya Soka na wengi wao wanamakuzi mazuri yakisokaIla hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje
Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
Acheze mayele basiVyovyote vile, Inonga hatakiwi kucheza fainali.
Penye miti hapana wajenzi na Amani inalemaza.Ila hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje
Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
Bongo ina wachezaji wangapi wa Congokwani kuwa na kila kitu Ndio kuwa na Vipaji Congo ki asili ni watu wa soka Na Ndio maana wamewahi kucheza hadi fainali za kombe la Dunia kiufupi Wa Congo wana Asili ya vipaji vya Soka na wengi wao wanamakuzi mazuri yakisoka
Yaani ningekuwa na mawasliano ya direct kwa kocha wa DRC ngemsema hadi amuweke mayeleAcheze mayele basi
Congo miaka yote pamoja na vita wamekuwa mbele sana kwenye mpira na muziki. Nadhani wamejitengenezea au wametengenezewa access ya kwenda France na Belgium. Nilisikia katika kikosi chao ni mmoja tu anacheza ligi ya ndani.Ila hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje
Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
Asa hiyo si indicator mojawapo kwamba Congo wapo vizuri kisoka kuliko wew wanakuja kwenye ligi yako wanatamba wanasepa wew machezaji yako yapo tu yanashangaaBongo ina wachezaji wangapi wa Congo
Mi nimezungumzia kizazi cha dhahabu cha Nigeria 1994-2002. Walikua na kizazi cha dhahabu zama hizo lakini hawakupata mafanikio stahiki kulingana na ubora wa wachezaji walokua nao. Inatokea sana kwenye football, hata Real Madrid akiwa na kazazi cha dhahabu cha akina Figo, Zidane, Raul, De Lima hawakua na maajabu kwenye UEFA Champions League, badala yake waliokuja mapinduzi ni kina Ramos, Benzema, Bale na Cristiano Ronaldo. Vivo hivyo kwa Waholanzi, hawajawahi kuishiwa wachezaji bora, kila football tournament kubwa hua wana kikosi bora, iwe na Euro ama World Cup ila hua hawana maajabu sana ukitoa mwaka 1998, 2010 na kidogo 2014 walifika hatua za mbali kidogo, ila kuna miaka hata kufuzu tu hua ni shida.Umeandika as if Nigeria [emoji1184] hajawahi kuchukua ndoo hapo katikati. 2013
Ama niwashabilie ivory kinafikiMpira una matokeo ya kikatili sanaa Mama Trent
Una mtu yupo Brentford ya Epl na una mayele wa Pyramid wa epl lazma aanze tuuYaani ningekuwa na mawasliano ya direct kwa kocha wa DRC ngemsema hadi amuweke mayele
mpo nyuma mda wote kama kuku wamdondoHii game ilisha Isha nashangaa mnabishana hapa [emoji23][emoji1787][emoji1787] tukutane fainali kombe lilishaenda Kinshasa hili
Wauza vumbi mmejipang haswaa ila wale wanaijeria Uchawi umelala nao si habaHii game ilisha Isha nashangaa mnabishana hapa 😂🤣🤣 tukutane fainali kombe lilishaenda Kinshasa hili
Ligi yetu ni darajaAsa hiyo si indicator mojawapo kwamba Congo wapo vizuri kisoka kuliko wew wanakuja kwenye ligi yako wanatamba wanasepa wew machezaji yako yapo tu yanashangaa
Channels za SuperSport ndio kila kitu kwenye mpira kwa upande wa DSTV, huko kwingine kote quality yao mbovu sana, sasa bora TBC kule TVE ndio utatamani ulaaniYaani mimi TBC naiangalia sababu ya mechi tu kwakweli
Aingie Mvupa na Banza mbele watachangamka
Fanya hivyo...🤣Ama niwashabilie ivory kinafiki
Ili Congo apite 😁
Hilo jina😂🤣😂
Kuna silas pale Kuna banza mayele kuingia ni ngumuYaani ningekuwa na mawasliano ya direct kwa kocha wa DRC ngemsema hadi amuweke mayele
Lol. Sijui huwa wanapangaje muda wa mechi hawa jamaa?Hii mechi ya sasa hivi ndio Mdakuzi husema “Umekula biriani hujashiba ukaomba kuongezewa ukapewa bada”
Utopolo mtupu!
Mechi ya SA na Nigeria ilikuwa ya kufundishia darasani kabisa kwenye shule za soka.
daraja kwa wachezaji wenye vipaji sio kwa kila mtuLigi yetu ni daraja