Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Mkuu ulichungulia kwa mtaalam gani[emoji23]Kwa jinsi Nigeria [emoji1184] wanavyocheza hatuendi 120 hapa. Watapigwa cha pili dakika 6 tu baada ya cooling brake.
Ivory Coast wanabahati sana msimu huu hasa pale walipoingia kwa bahati hiyo
Wanajua sio bahatiHawa ivory coast wana bahati aisee
Hao kazi yao kukupa matokeo wakati kama huu.Mengine wanakuachia wewe.afu kuna kenge alikua anakwambia Haller ameisha wabongo bwana wanazani kujua kucheza mpira ni kukimbia kimbia ovyo
Mbele wanapozesha sana mashambulizi, hawana kasi
ANDIGRA [emoji114][emoji114][emoji114]Huyu dogo wa Ivory Coast anaye cheza namba kumi na moja anaubonda mwingi mno, kwangu ndiye man of the match.
Kana maamuzi sahihi sanaHuyu dogo wa Ivory Coast anaye cheza namba kumi na moja anaubonda mwingi mno, kwangu ndiye man of the match.
Nigeria saii wamezidiwa
Hatari sana
Ivory coast nilisema mimi wamezindika viwanja vyaoEnjoy Football Sasa!