Yeah leo naweka unazi pembeni nawapa sapoti kiushabikiAziz K inn!!
Aziz KNgoja tumuone!!!
Hata mimi mwanangu!!Leo namsapoti mwanangu Azizi Ki
Mwanetu sanaYeah leo naweka unazi pembeni nawapa sapoti kiushabiki
Aamin.. Na Usiku kipa mkareee wa Wananchi atakiwasha kuwakilisha nchi yao MaliWananchi wameanza kuwakilishwa rasmi afcon muda huu kwa Stephane aziz ki kuongoza midfield ya Burkina Faso.
Kila la heri Burkina Faso .
Leo namsapoti mwanangu Azizi Ki
Hujamuona Aziz anavyowalamba chenga?Match ya muda huu hamna kitu. Wanarukaruka tu.
Kuna mtoto mmoja kati ya hawa mascots waliokuwa wameambatana na team ya Mauritania ana kitambi kikubwa nahisi atakuwa na shida yule kwa mtoto wa umri ule kuwa na tumbo limevimba namna hiyo.
Naunga mkono hojaMkuu Ali Kamwe atakupigia simu baadae 😁
Dah nimejikuta natafakari kwa muda mrefu nimeshindwa hata ku concentrate kwenye hii mechi.Hata mimi nimemuona huyo mtoto.
Halafu baada ya chenga nini kinafuata?Hujamuona Aziz anavyowalamba chenga?
Wana balaa sanaHawa Mauritania wako serious sana