Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Ongeza na uchawaMpaka tuweke mifumo wezeshi
Wenzetu hawakuamka na kujikuta wapo hapo, ni jitihada na uwekezaji.
Sasa mpira wetu sisi bado upo kwa ajili ya kuitumikia siasa unafikiri huko tutafika kwa speed hii?
Mnyonge anacheza keaho saa mbili mkuu🤣🤣Hii michuano niliichukulia poa,, lakin nashawishika kila mechi naangalia,, hakuna mnyonge hadi sasa,,
Wana kiungo cha motoUbora wa Ligi ya SA umedhihishwa na jinsi Namibia na SA zinavyocheza
Hata mie niliona, nkasema mbna km wetu.Wimbo wa taifa wa south Africa unafanana Sana na wa kwetu
SawaMakipa wote wa Mali na South ni magolikipa wa kisasa. Wana utulivu mguuni wakiwa na mpira
Haha haiwez kua kwa sbb hata iyo Kiwiko kilicholeta penalty kawaonea tu huruma.Refa kama anamaelekekezo ya rais wa Caf
sio kwamba ni wabaya sana tunaweza tukafanya kituSiungi mkono siasa katika michezo hasa hapa home ila nawaza ina kiwango cha mpira robo ya hizi timu zinazocheza
Wenge 🤣🤣Hata mie niliona, nkasema mbna km wetu.
Jamaa hajadanganya umri, angekuwa Tz angeitwa kinda yule maana kwa muonekano hatofautiani sana na Mzize mwenye miaka 19.Shaulile ana 34? Mie najua yuko chini ya 30 woiiiiiih
Kitu gani mdausio kwamba ni wabaya sana tunaweza tukafanya kitu
Yes. But napenda kumona huyo Modiba na kiungo Mokoena. Ila napenda fighting spirt ya Mudau. Mimi kwakweli South Africa [emoji1221] ndio nawashangilia achana na watumikia siasa.Ila Zwane ni talent kubwa sana.
🤣,, Huenda wakafanya kama Namibia (jokes)Mnyonge anacheza keaho saa mbili mkuu🤣🤣
Mlevi mmoja hapa kijiweni ndo anatupanga hivo
Nilijua unamaanisha EPL,LALIGA, BUNDESLIGA na SERIE A, kama ni huko kwingine nashawishika pia.ashindwe kucheza ligi ya norway ,Sweden,Denmark wavuta Bangi kina Bobani walicheza huyu anashindwa nin
Sijawahi ona ukubwa wa huyo jamaa ktk mpira, bora hyo penalt angepiga themba zwane au Thapelo Maseko. LolHuyu Tau huwa hana umakini golini hata akiwa Ahly, uzuri wake ni kukokota mipira tu kama akina Kibu.
Mie sijui nikoje,, wale under dogg wote nawashabikia,,Yes. But napenda kumona huyo Modiba na kiungo Mokoena. Ila napenda fighting spirt ya Mudau. Mimi kwakweli South Africa [emoji1221] ndio nawashangilia achana na watumikia siasa.
Walicheza faulo zilizostahili kadi, tuache ushabiki wa kijinga kulaumu marefa kila wanapofanya maamzi yasiyokuwa upande wetu.Refa kama anamaelekekezo ya rais wa Caf