Nmekutajia Jordi Masip na Tobias Sippel sina haja ya Ku Google football ni maisha yanguNitajie huyo mwenye foot work nzuri ila height ya Diarra anayecheza ulaya kama ulivyomtaja Barthez na Iker
Hebu google uniletee mmoja tu
Ulikuwa unaona lkn bartez walivyokuwa wanamchungulia kwenye angle alikuwa hazifuati anasindikiza tu na machoMaelezo yako yamejawa na chuki na u Simba na Yanga 180CM ni mfupi? Fabien Bartez alikua ni world class urefu wake sawa na Diarra, Iker Casllas one of the best alikua na urefu wa 182CM ukiwa unaongea vitu angalia unaongea na kina nani View attachment 2874287View attachment 2874288View attachment 2874289
Alikua hafungwi sababu ya height alikua ana mistakes zake za kizembe hasa one against one hakua short stopperUlikuwa unaona lkn bartez walivyokuwa wanamchungulia kwenye angle alikuwa hazifuati anasindikiza tu na macho
Leo mechi ni mbili tu
MA o ndaLeo Tanzania tunakipiga na Morocco saa mbili usiku!
Kila la kheri Tanzania πΉπΏ
Kivumbi leoUtabiri wanguView attachment 2874346
Fei toto wa kula ugali na sukari au kuna mwingineKuna hisia zinaniambia game ya leo morroco anakufa goli 1, shuti kali sana la fei toto....inshaallah na ikawe heri kwetu!
Rafiki aa yuu yuu? πLeo Tanzania tunakipiga na Morocco saa mbili usiku!
Kila la kheri Tanzania πΉπΏ
M'Mungu ajaalie hata tupate point moja mana game ngumu sana hiyo kwetu rafiki.Leo Tanzania tunakipiga na Morocco saa mbili usiku!
Kila la kheri Tanzania πΉπΏ
πππππππππ€π€π€Rafiki aa yuu yuu? π
π€Έπ½π€Έπ½π€Έπ½π€Έπ½π€Έπ½
huyohuyo, nahamtoamini macho yenu!Fei toto wa kula ugali na sukari au kuna mwingine