2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nitajie huyo mwenye foot work nzuri ila height ya Diarra anayecheza ulaya kama ulivyomtaja Barthez na Iker
Hebu google uniletee mmoja tu
Nmekutajia Jordi Masip na Tobias Sippel sina haja ya Ku Google football ni maisha yangu
 
Diara amechukua nafasi ya Andre onana wa Man U Kwenye Afcon .
A. Onana yupo bench Diarra Ana shine Afcon na kina victor na mane.
 
Taifa stars 75% ya wachezaji fitness Yao ni zero na hii ndiyo itatugharimu ikiwemo umri mkubwa n.k .

Angalia Mozambique , Cape Verde , Namibia au Angola mataifa Madogo kisoka wana fitness nzuri wanakimbiza Mpira .
 
Utabiri wangu
IMG_9435.jpeg
 
Kuna hisia zinaniambia game ya leo morroco anakufa goli 1, shuti kali sana la fei toto....inshaallah na ikawe heri kwetu!
 
Back
Top Bottom