2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Yani Tz yote imerudi nyuma (sio kitu kibaya), shida ni kwamba kila wakitapa mpira wao wanautupa huko katikati bila kujua inaenda kwa nani.

Hivi kweli hatuna uwezo wa kupiga pasi hata mbili badala ya kubutua kila mpira?
 
Wacha weeeeee, umempendea nini sasa? Jamaa kauzu yule. Huambulii hata 100. We waonee wazigua wenzako tu.πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†
Ulisoma comment yangu kweli?
Nilisema wapi nimempenda?? Mkuu, unajua kupenda kweli kulivyo?

Kuadmit hair style yake ndio kumpenda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…