mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Dhubutuu maishaJe mnaweza kuzibana dakika 90?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhubutuu maishaJe mnaweza kuzibana dakika 90?
Ipeperushe bendera vyema huko ulipoNiko nje ya Taifa mie
Na hivi vipasi vya Zaych, hatutaweza shika bomba kwa dakika 90.Dhubutuu maisha
Amina🙏🏾Aamin aamin! Tushinde jamani 🙏
Ulisoma comment yangu kweli?Wacha weeeeee, umempendea nini sasa? Jamaa kauzu yule. Huambulii hata 100. We waonee wazigua wenzako tu.😀😃😄😁😆
Wanazingua kinomaTanesco ya maharage ni bora kuliko hii ya sasa...
Kiangazi mgao..
Masika mgao
Yah ni ukweli kabisaKocha alishasema mapema mwaka huu ni kupata uzoefu
Lazima tutafungwa tu, sisi kazi yetu ni kuurudisha mpira kwenye himaya ya Morocco kila tunapoupata.Mpaka sasa hatujaruhusu goli tumejitahidi sana
MnoooooMpaka sasa hatujaruhusu goli tumejitahidi sana
unabana kende wakifika golinii sio full timeJe mnaweza kuzibana dakika 90?