United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
afu mbona anaonekana age imesogeaFofana ananikumbusha enzi za Michael Ballack…ni mwendo wa mikwaju tu
Credit kwa kipa vinginevyo ingekuwa kamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afu mbona anaonekana age imesogeaFofana ananikumbusha enzi za Michael Ballack…ni mwendo wa mikwaju tu
Credit kwa kipa vinginevyo ingekuwa kamba
Wanacheza kama wanathiimbaaa[emoji1787][emoji23][emoji16]
Naunga mkono hojaWachovu sana hawa
YahIlikuwa kamba hii kama kipa asingegusa
Ana miaka 28 🤣🤣afu mbona anaonekana age imesogea
Machachari kwelikweliBoga anawapeleka mputa
Futa kauli🤣🤣Wanacheza kama wanathiimbaaa🤣😂😁
🤣😂😁😁😁😁Futa kauli🤣🤣
Naunga mkono hojaTuweni wa kweli Wakuu, hii HD ya DStv ndiyo HD ya ukweli kuliko HD ya Azam maana iko na mng'ao wa hali ya Juu
Nadhani kuna haja Azam wakaenda kujifunza kwenye hili
Bongo bado tunasafari ndefu kwenye Teknolojia
📌📌📌NakaziaKuna namna refarii yuko upande wa mwenyeji
Huu ndio ukweliTuweni wa kweli Wakuu, hii HD ya DStv ndiyo HD ya ukweli kuliko HD ya Azam maana iko na mng'ao wa hali ya Juu
Nadhani kuna haja Azam wakaenda kujifunza kwenye hili
Bongo bado tunasafari ndefu kwenye Teknolojia
Hii imeenda kama ya mlandege tuSioni dalili ya Guinea kusawazisha hii mechi
Nilijaribu kuweka Azam nimeamua kubadirisha na kurudi kwenye Dstv maana niko na access na Ving'amuzi vyote viwiliNaunga mkono hoja
NakaziaSioni dalili ya Guinea kusawazisha hii mechi