2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Huu mpr unaopigwa na kila team had ss.. Nasbr na zamu yetu kichwa cha mwendawazimu tuone.

Maana usije kuta sisi ndo nchekea kwny hii michuano.
Hata hivyo ni wazi kuwa sisi ndio mchekea, 2019 tulipoteza mechi zote hadi ile dhidi ya Kenya. Hakuna mabadiliko makubwa yaliyofanyika tangu kipindi hicho, kwahiyo sitegemei maajabu.
 
Hivi Kati ya Usm Algeria na Cr belouzidad
Ipi team giant Algeria?

Maana kikosi Chao Cha kwanza nawaona wachezaji wa Usm alg belouzidad siwaoni
 
Back
Top Bottom