Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Angola amerudia ujinga wake wa kupaki. Anapigwa soonHamna mkuu bado dk 10 pamoja na nyongeza sioni goli hapa.
Zama za waarabu ku dominate soka la Africa zimeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angola amerudia ujinga wake wa kupaki. Anapigwa soonHamna mkuu bado dk 10 pamoja na nyongeza sioni goli hapa.
Zama za waarabu ku dominate soka la Africa zimeisha
Game yetu imepewa heshima kesho ndo game ya mwisho saa 5.Kiukwl hata mm naona sisi tunaweza kua nchekea.. Sbr tuone kesho sio mbali itajulikana tu tumeingiaje kwny michuano hii.. Kesho ndo tutajua tulipenya penya vp.
Sometimes VAR magumashi tuV.A.R Checking
Kweli, wana soka la msako wa nyani mwanzo mwisho.Mpr wa Algeria mzr kwa sbb ni watu wa msako.
Ww Team mpinzan ukiweza kustahimiri heka heka zao wasikufunge mapema ukazid wapeleka unawavizia unaweza kuwafunga.
Hata hivyo ni wazi kuwa sisi ndio mchekea, 2019 tulipoteza mechi zote hadi ile dhidi ya Kenya. Hakuna mabadiliko makubwa yaliyofanyika tangu kipindi hicho, kwahiyo sitegemei maajabu.Huu mpr unaopigwa na kila team had ss.. Nasbr na zamu yetu kichwa cha mwendawazimu tuone.
Maana usije kuta sisi ndo nchekea kwny hii michuano.
[emoji23]Kwmba mkuu unasemaaa???Game yetu imepewa heshima kesho ndo game ya mwisho saa 5.
Lakini itakuwa na kipigo Cha mbwa koko
Game yetu saa 2. Labda kama wewe ni Mcongo au MzambiaGame yetu imepewa heshima kesho ndo game ya mwisho saa 5.
Lakini itakuwa na kipigo Cha mbwa koko
Hakika sisi ndo tunaweza kua tumefuzu lkn hata AFCON wanashangaa tumefuzu vipi[emoji23]Hata hivyo ni wazi kuwa sisi ndio mchekea, 2019 tulipoteza mechi zote hadi ile dhidi ya Kenya. Hakuna mabadiliko makubwa yaliyofanyika tangu kipindi hicho, kwahiyo sitegemei maajabu.
Sema kweli ni sa2 nimeona.Game yetu saa 2. Labda kama wewe ni Mcongo au Mzambia
Yes.Game kali iishe sare wote wamecheza vizuri
HahahahaHakika sisi ndo tunaweza kua tumefuzu lkn hata AFCON wanashangaa tumefuzu vipi[emoji23]
Saa 5 ya kibongo mkuu.Game yetu saa 2. Labda kama wewe ni Mcongo au Mzambia