uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Utopwinyox mmeanza kutake advantageAngola wanacheza style ya yanga ya kukimbiza mwanzo mwisho wanakaba wote wanashambulia wote .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopwinyox mmeanza kutake advantageAngola wanacheza style ya yanga ya kukimbiza mwanzo mwisho wanakaba wote wanashambulia wote .
Ukiisha Vaa Jersey namba 13 ujue basi ni Mkosi balaa. Najua utakataa lakini fuatilia wachezaji wanaovaa Jersey namba 13.Shalulile unaweza muwekea No goal ikatoa,,
Huyu hata penat anakosa
Ana miaka 34 Kwa Sasa Huko ufaransa hawachukui WazeeeKbs mkuu.. Had leo kocha akajiona ni falaa akawa anaanza kbs ss.
Jamaa kila kitu utakacho ulzia kwa mchezaj anacho.
Agent wake akiwa mjanja anamtoa Egypt anampeleka hata Saudi kula hela nzr kbs jamaa mzr au hata France huko
Umemuongezea sana mkuu ana 31.Ana miaka 34 Kwa Sasa Huko ufaransa hawachukui Wazeee
Oky mech ya badae unasimama na nani ?
Saudi atapata zile timu ndogo ndogo km Kama Abha club Al Hazan ila hawa wakubwa siku hz wanataka majina makubwa Toka ulayaUmemuongezea sana mkuu ana 31.
Lkn Saudi huyu agent wake akiwa mjanja mjanja anacheza.
Ni kweli hata izo. Ndg mkuu wanalipa vzr ww ilmrad uwe tu Saudi.. Maana Serikali ya Saudi ina finance team zote ili ligi yao ikue.Saudi atapata zile timu ndogo ndogo km Kama Abha club Al Hazan ila hawa wakubwa siku hz wanataka majina makubwa Toka ulaya
🤠🤠🤠😁!Oky mech ya badae unasimama na nani ?
Ni copy na kupaste,,🤣
Ninachojua jamaa yupo uarabuni tayari, huko Egypt kaenda lini?Kbs mkuu.. Had leo kocha akajiona ni falaa akawa anaanza kbs ss.
Jamaa kila kitu utakacho ulzia kwa mchezaj anacho.
Agent wake akiwa mjanja anamtoa Egypt anampeleka hata Saudi kula hela nzr kbs jamaa mzr au hata France huko
Kocha ana akil kdg pa1 kocha naye ni mbovu vile vile.. Lkn onana Akae bench hapo hapo awe cheerleader tu.Onana amesugua tena benchi leo
Saudi Pesa ipo tena nzuri tuu Hizi nchi za Kiarabu kama Saudi Qatar na UAE wanalipa Vizuri sanaNi kweli hata izo. Ndg mkuu wanalipa vzr ww ilmrad uwe tu Saudi.. Maana Serikali ya Saudi ina finance team zote ili ligi yao ikue.
Nimeona yuko team moja ya Egypt inaitwa Al-Ittihad Alexandria.Ninachojua jamaa yupo uarabuni tayari, huko Egypt kaenda lini?
[emoji817][emoji419]Saudi Pesa ipo tena nzuri tuu Hizi nchi za Kiarabu kama Saudi Qatar na UAE wanalipa Vizuri sana
dadeki zakeOnana amesugua tena benchi leo